Hahaaaa. Nimepata kitu hapa mkuu ila kuna sehemu na sehemu ya kutumia uongo japokuwa kwa huyu dada ndio ilikuwa sehemu sahihi tena sio uongo bali kumezea raha alizopatiwa na hilo dume [emoji85] ili kuyalinda mahusiano yake.Kwa kweli tunafanya sana, na hata takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ndio tunaongoza katika kufanya hayo, ila jambo la msingi ni kuhakikisha mpenzi wako/mke wako hapati fursa hata ya kukuhisi na hiyo inamjengea heshima na kujiamini, ukiweka ukweli kwenye mapenzi kwa 100% ujue hapo ndio unayabomoa,
Hivyo uongo unadumisha mapenzi zaidi kuliko ukweli, ndio hayo yaliyomkuta Bi mdada
......Inategemea sana.
tena hapo pia itakuwa nimemueshimu sana Emmy. Je kama nikiamua kujirudi yaani kumsamehe Alafu nikam BASHITE sindio atokaa na kunisahau kabisa katka maisha yake yoote.
Well said mummyHahaaaa. Nimepata kitu hapa mkuu ila kuna sehemu na sehemu ya kutumia uongo japokuwa kwa huyu dada ndio ilikuwa sehemu sahihi tena sio uongo bali kumezea raha alizopatiwa na hilo dume [emoji85] ili kuyalinda mahusiano yake.
Sababu angejinyamazia ingebaki kuwa siri yake na maisha yangeendelea tu.
Chirozo maana yake ni Maajabu au kitu cha kushangaza.Hahahaaaa. "Eti ukambashite lol" ila kwa upande wangu mtu akikosea ni vyema akajua kakosea ili kama wa kajirekebisha ajirekebishe na kama ni wa kuanza maisha mengine mapya akaanze tu kwakweli kuliko kufanyiana wema usiotoka moyoni ambao baadae unakuwa na madhara tena sio madogo ujue.
Hivi mkuu hilo jina ni neno la kilugha ama. Sababu kikwetu kwetu kule Tanga inamaana ya jambo la ajabu "chirozo"
Ningemsamehe tu aisee, maana kajiwahiHahahaaa. Ila wanaume mna kazi sana aisee.
Ungekuwa wewe Mkuu ungemfanyaje huyo mdada anayekwambia kirahisi rahisi hivyo huku raha alishaipata? [emoji85]
Dooh. Kama kweli vile. Hahaahaaaa.Ningemsamehe tu aisee, maana kajiwahi
[emoji23] [emoji23] nenda usikatae waswahili wanasema kubali wito kataa ushauri,ika mm huyu naona hana lengo zuri huko PM hahahahHahahaaaa. Umenikumbusha ule uzi duuh. Tumeshajanjaruka sasa na sie.
Mkitaka ushauri anzisheni uzi tutawashauri na sio kuja huko kwa Prime Minister.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] nenda usikatae waswahili wanasema kubali wito kataa ushauri,ika mm huyu naona hana lengo zuri huko PM hahahah