Ukwel kwenye mapenzi

Yes, ndio nitamwambia nimekusamee mpenzi ainashida kukosea ameumbiwa mwanadamu.
Wakati tunayatafakari hayo kumbuka tupo getto muda uwo.
Sasa hotea kitakachofuata baada ya tukio la kumwambia nimekusame.
 
Hahahaaa. Ila wanaume mna kazi sana aisee.

Ungekuwa wewe Mkuu ungemfanyaje huyo mdada anayekwambia kirahisi rahisi hivyo huku raha alishaipata?
Hua nawazaga mengi sana kamfanaje kama mm na jee hajapiga mtandao pendwa na yukoje kibamiaa au mtwangio hapo ndipo msamaha hua mgumu
 
Yes, ndio nitamwambia nimekusamee mpenzi ainashida kukosea ameumbiwa mwanadamu.
Wakati tunayatafakari hayo kumbuka tupo getto muda uwo.
Sasa hotea kitakachofuata baada ya tukio la kumwambia nimekusame.

Hahahaa. Umenifanya niuvae uhusika halafu nikajiwazia atakavyojisikia huyo mdada kwa kuona kweli kapata mpenzi sababu hadi kusamehewa kwa alichokifanya sio jambo dogo hilo.

Ila bora tu ufanye maamuzi ya moja kwa moja ajue anasimamia wapi kuliko kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Emmy, mapenzi siku zote yanaitaji taimingi , yule atakae muanza mwenzake kumuacha ndio winner.

Amna asiejua maumivu ya kuachwa katka mapenzi,
Ogopa sana kutendwa.

Kama umeshawai kutendwa hutoona taabu na wewe kumtenda na ndio maana visa vya mapenzi aviishi mpaka nwisho wa Dunia.
 
Msamehe agundue pia udhaifu wako maana kashajua udhaifu wake pia
 
We na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuuza moyo wako.

Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
Hivi, vyuo havijafunguliwa bado!!
 

Hahahaaa. Ila saa nyingine inatakiwa kurudi nyuma na kufikiria Mkuu sio lazima kila baya lilipwe na baya.

Unaweza muacha kiroho safi tu. Ili kama maumivu awe amejitakia mwenyewe.
 
Ila kwani nyie huwa hamfanyi hiyo kitu. Tena nasikia nyie ndio hamjambo upande huu.
Kwa kweli tunafanya sana, na hata takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ndio tunaongoza katika kufanya hayo, ila jambo la msingi ni kuhakikisha mpenzi wako/mke wako hapati fursa hata ya kukuhisi na hiyo inamjengea heshima na kujiamini, ukiweka ukweli kwenye mapenzi kwa 100% ujue hapo ndio unayabomoa,

Hivyo uongo unadumisha mapenzi zaidi kuliko ukweli, ndio hayo yaliyomkuta Bi mdada
 
Hahahaaa. Ila saa nyingine inatakiwa kurudi nyuma na kufikiria Mkuu sio lazima kila baya lilipwe na baya.

Unaweza muacha kiroho safi tu. Ili kama maumivu awe amejitakia mwenyewe.
......Inategemea sana.
tena hapo pia itakuwa nimemueshimu sana Emmy. Je kama nikiamua kujirudi yaani kumsamehe Alafu nikam BASHITE sindio atokaa na kunisahau kabisa katka maisha yake yoote.
 
Umeandika kama yule James Nyamvuto Delicious!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…