Sababu kiuhalisia swala kama hilo sio la kusema uanze kujifikiria kutoa maamuzi yaani maamuzi yake yanakujaga papo hapo.yani nyuzi zingine nizakupita kimya kimya walah,... Hawa watt wanasumbua sana humu siku hizi...aahg
Hahahhahaa anataka amuoneshe bebi wake kuwa nayy anatongozwa nje,asidhani yy tuu ndio kamuweza,..nyoo hajakomaa huyo kiakili na kimwiliSababu kiuhalisia swala kama hilo sio la kusema uanze kujifikiria kutoa maamuzi yaani maamuzi yake yanakujaga papo hapo.
Ila kama ni kweli huwa kuna wanawake vichwa maji aiseee yaani anajifumanisha mwenyewe. Hahahaaa.
Kweli kabisa sababu angekuwa amekomaa angejua baya na zuri.Hahahhahaa anataka amuoneshe bebi wake kuwa nayy anatongozwa nje,asidhani yy tuu ndio kamuweza,..nyoo hajakomaa huyo kiakili na kimwili
Busara zako zinanikuna sana bibie,namimi nina maumivu yakuachwa na mpenzi wangu niliyemsomesha mpaka masters.....naomba uje pm unishauri hahaWe na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuuza moyo wako.
Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
Wakue tuu kwakweli pampaz zinawapwaya bado..Kweli kabisa sababu angekuwa amekomaa angejua baya na zuri.
Mie najionea wakue kwanza.
Hahahaaaa. Umenikumbusha ule uzi duuh. Tumeshajanjaruka sasa na sie.Busara zako zinanikuna sana bibie,namimi nina maumivu yakuachwa na mpenzi wangu niliyemsomesha mpaka masters.....naomba uje pm unishauri haha
Mkuu nkupeleke tanga tukamtengenezeBusara zako zinanikuna sana bibie,namimi nina maumivu yakuachwa na mpenzi wangu niliyemsomesha mpaka masters.....naomba uje pm unishauri haha
Umeonaeee. Mapenzi kitu kingine bana.Wakue tuu kwakweli pampaz zinawapwaya bado..
Hahahaaaa. Umenikumbusha ule uzi duuh. Tumeshajanjaruka sasa na sie.
Mkitaka ushauri anzisheni uzi tutawashauri na sio kuja huko kwa Prime Minister.
Haaaaaaa naona a brightly lady kwenye ubora wako
Nazingua mkuu....angekuwepo ningekua nishamlaza na babu zakeMkuu nkupeleke tanga tukamtengeneze
Nimekununia hapa ujue sababu sio kwa kunichunia salamu zangu kiasi kile.Haaaaaaa naona a brightly lady kwenye ubora wako
Haaaaaa unanikumbusha jamaa katuma picha ya dem wake kwenye group watu huuuu namjua huyo dem chaoteNazingua mkuu....angekuwepo ningekua nishamlaza na babu zake
Ishakula kwenu hiyo. Kila kitu hapa hapa hadharani siku hizi hatutaki mambo ya Pmasa tutakula wapi au ndo ishakula kwetu
Haaaaaaaaaa ubaya pm yako siioni we mwana mubaya sanaNimekununia hapa ujue sababu sio kwa kunichunia salamu zangu kiasi kile.
Ila natumai uko poa.
Nipo poa napona mdogo mdogo mambo yalinifika hapaNimekununia hapa ujue sababu sio kwa kunichunia salamu zangu kiasi kile.
Ila natumai uko poa.