Ukwel kwenye mapenzi

Ukwel kwenye mapenzi

popoo kuranyi

Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
10
Reaction score
4
Jamaaaan mm nna mpenz wangu nampendaa sanaa na yeye naona ananipendaa lakini juzi nmeonana nae kanambiaa kitu kimeniuma sana kasema mpenzi kiukwel ulivokuwa mbali nlitembea na mwanaume alinilaghai nkampa penzi lakini nmejua udhaifu wangu na nakupendaa ww hata nlivofanya nae nlikuwaa nakuwaza ww naomba unisamehe sirudii tena na tulipangaa mangi kuhusu ananiomba msamaha kila siku et jamaaan nfanyaje nmsamehe au niende mbele????
 
We na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuiza moyo wako.

Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
Ur dammm bright
G'morning Msichana Mrembo
 
We na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuiza moyo wako.

Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
Asa si amekuwa mkweli tu
 
"eti alinilaghai nikampa penzi" we endelea kumkaza tu ila punguza huduma na usiwe na malengo nae
 
Sasa ukweli wake una faida gani mkuu.

Angalau angekuja na suluhu kwamba mpenzi wangu kaniambia hivi nimechukua maamuzi haya nadhani tungeona ametuandikia kitu chenye faida kidogo.
Hahahah hapo ukute demu alimpata kwa zali lazma awe mdogo tu.
 
Jamaaaan mm nna mpenz wangu nampendaa sanaa na yeye naona ananipendaa lakini juzi nmeonana nae kanambiaa kitu kimeniuma sana kasema mpenzi kiukwel ulivokuwa mbali nlitembea na mwanaume alinilaghai nkampa penzi lakini nmejua udhaifu wangu na nakupendaa ww hata nlivofanya nae nlikuwaa nakuwaza ww naomba unisamehe sirudii tena na tulipangaa mangi kuhusu ananiomba msamaha kila siku et jamaaan nfanyaje nmsamehe au niende mbele????
Pole kwanza mkuu, pili naungana na mmoja ya mchangiaji aliesema fuata moyo wako sababu kwenye mapenz tunaweza kukushaur hivi ww ukaamua vile, so sikiliza moyo wako...

Kingine shukuru Mungu kakuambia ukweli wengine huwa hawasemi anaendelea kula kote kote so akili mkichwa chako kaka
 
We na huyo mpenzi wako wote ni watoto hamjakua bado yaani kwa raha kabisa unakuja kuanzisha uzi kama huu as if alichokifanya kimekusuuza moyo wako.

Fanya kile ambacho moyo wako unataka.
yani nyuzi zingine nizakupita kimya kimya walah,... Hawa watt wanasumbua sana humu siku hizi...aahg
 
Jamaaaan mm nna mpenz wangu nampendaa sanaa na yeye naona ananipendaa lakini juzi nmeonana nae kanambiaa kitu kimeniuma sana kasema mpenzi kiukwel ulivokuwa mbali nlitembea na mwanaume alinilaghai nkampa penzi lakini nmejua udhaifu wangu na nakupendaa ww hata nlivofanya nae nlikuwaa nakuwaza ww naomba unisamehe sirudii tena na tulipangaa mangi kuhusu ananiomba msamaha kila siku et jamaaan nfanyaje nmsamehe au niende mbele????
We muuache tu na bora amekwambia mapema kabla hujamweka ndani.daaa ila ukweli haujawahi muacha mtu salama ,nadhani jibu unalo ila unataka uongezewe majibu zaidi.Pole kwa kuambiwa ukweli
 
Back
Top Bottom