Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Hahahaha hahahah,Hahahaaaaaaaaaa! Hebu naomba nitumie namba ya kamanda aiseeeeeeee! Ulifikiria mbali sana na kwa haraka na nadhani aliisoma huyo.
Hahahaha hahahah,
Ni wazo tu lilinijia nikaamua kumwandikia ivo,
Si matusi pekee au kelele ndio zinaonesha kukasirisha hata hiyo nadhan ilifaa tu,
Hahahah hahah unataka kumripoti nani swaiba!!
Yaani usiniambie kwamba hujui hata huyo mwanaume aliyekaa naye yukoje naye, we unapeleka namba yako tu! Vipi kama ni mumewe au sio malaya? Si utaishia kupata aibu kama alivyoipata pale?
Hapa nimezaa mtoto.................Umenikumbusha tukio moja lilitukuta siku moja,
Hii ilitutokea hapa hapa dar niliwa na marafiki zangu tunaangalia mpira mahala,jamaa akaandika namba na kumpa mhudumu ampe mmoja wetu pale,mhusika alipofungua na kukuta ni no ya simu akatuambia akiwa amechukia na kuhisi jamaa katuchkulia kirahisi rahisi sana kutaka kwenda kumvaa,
Mie nikamtuliza na kuchukua ile karatasi na kuandika namba ya kamanda wa polis kanda maalumu na kumtaka anipigie ,basi nikampa shosti wangu na akampa mhudumu ampelekee,
Tukaendelea na ishu zetu,sijui alipiga au vp na alimweleza nn afande!
Lakini kwa nini usiende pale na kuomba mchepuke ndiyo uongee naye, badala ya 'kutuma' namba yako kwenye kikaratasi?
Kaka Arusha hatuna muda wa kuremba bana,
Unapewa namba, unabip, tunapiaga kisha tunakutana Kwa Moromboo kwenye nyama choma, baadae mambo yote tunamalizana viwanya vya Makao Mapya.............LOL
Wacha weeeeeeee! Aiseeee, kichwa maji kweli wewe na kama una mke basi kala hasara!
we nawe akili yako, hovyoooooooooooo! nani kakwambia tulienda mrina bar? hiyo bar naijua sana, yaani ulivyokimbilia kuitaja hiyo bar, huenda ndo kijiwe chako hicho mkuu
mkuu hii tabia kwa watu wa arusha ni common sana-na wengi wanafanikiwa-huyo shemeji yako anabahati sanaKama ni ukware, basi Arusha kiboko! Kweli kutongoza kwa wengine ni kazi kubwa. Kuna siku nilikuwa kwa bar na shemeji yangu wa kike, bila aibu njemba moja baada ya kuvutiwa na shemeji yangu, ikaamua kuandika namba yake ya simu na kumpa Bar maid eti ampe huyo shemeji yangu. Nilipogundua nikamwambia shemeji anipe hichi kikaratasi then nikamuita bar maid na kumwambia amrudishie mhusika. Jamaa alipopewa namba yake aliona aibu then akaondoka. Wakati anatoka nje, nikampa lama ya dole gumba akatokomea zake na watu wengine wakabaki wanacheka. Mjadala ukawa mkubwa ila baadae nikagundua-kutokana na maongezi yalivyoendelea-kuwa kumbe ni 'practice' ya kawaida sana miongoni mwa wanaume wengi wa jiji la Arusha kutumia njia hiyo kuwapata wanawake na kufanya nao mapenzi.
Mwenyewe aliamini huenda angepigiwa simu then wangeenda kula raha. Hivi inakuwaje mtu unazidiwa na ukware inafika mahali hata unashindwa kujiuliza status ya wahusika waliokaa bar wana uhusiano gani na kuamua kufanya ujinga kama huu. Hivi mtu kama huyu upeo wake na upstairs kuko sawia kweli.
Jamani wanaume mi siamini kama mji wa wajanja kama arusha kumbe vidume vyake ni 'midomo gundi' kiasi kile! Jamani wanawake sio rahisi kiasi hiki, labda awe ni mtu ambaye unamjua kuwa kazi yake ni umalaya. Kwa ambaye humjui, ni vyema 'ukamuimbisha', ujue moja kama umekubaliwa au umetoswa, sio kuingia kwa gia ya kutoa simu. Wengine ni wapelelezi utaishia kufanywa vibaya mtoto wa kiume!
Huku hatuna muda wa kubana pua............waambie bwana . Hatuna muda wa kumwimbia bongo fleva. Hatufugi mamba wazee .