Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,763
- 20,902
Ukitka kununua MRI toka USA utatumia pesa ya Saudia? Dola ina nguvu kwa sababu ya industrial productions ambazo zinahitajika duia nzima.SA aache ujinga auze bidhaa ya mafuta Kwa sarafu yake
Unatumia maana US anakuwa na uhakika wa kwenda kuitumia kununulia mafuta SAUkitka kununua MRI toka USA utatumia pesa ya saudia? Dola ina nguvu kwa sababu ya industrial productions ambazo zinahitajika duia nzima.
Kabisa. Anatakiwa ajirebrand kama financial centre. Uchumi wa mafuta unaenda kuisha.SA aache ujinga auze bidhaa ya mafuta Kwa sarafu yake
Swali : Dola itaanguka???Moja ya sababu inayofanya dollar iendelee kuwa sarafu ya dunia ni kutumika kwake kufanyia biashara ya mafuta
Marekani ilianza kupata trade deficit miaka ya 1970 huko. Si muuzaji wala mtengenezaji mkubwa wa vitu. Kinachofanya dollar iwe na nguvu ni hilo dili la kuifanya itumike kununulia mafuta. Ndiyo maana ya kuitwa Petrodollar.Hadi leo mtoa mada ujafahamu kwanini Dollar ina nguvu? Ukiwa mzalishaji mkubwa wa vitu na teknolojia watu watakuja kununua kwako kwa njia rahisi uliyosema.
Sasa chukulia SA atauza mafuta kwa pesa yake, swali ni kuwa yeye atanunua vingapi kwa pesa ya wengine?
Ataenda China ambayo kwa sasa inatengeneza industrial products zinazohitajika.Ukitka kununua MRI toka USA utatumia pesa ya Saudia? Dola ina nguvu kwa sababu ya industrial productions ambazo zinahitajika duia nzima.
zote ni underlicence ya USA , kama hujui jua hilo maana patents bado ni za USA, ndio wagunduzi huwezi kuzitengeneza bila ruhusa yao kimataifa.Ataenda China ambayo kwa sasa inatengeneza industrial products zinazohitajika.
Kilichopo ni kuwa Saudi Arabia imekubaliana na Marekani kuuza mafuta yake kwa Dollar. Ndiyo maana huoni watu wakitafuta pesa yao kwenda kununua mafuta. Lakini leo wakisema wanauza mafuta yao kwa Riyal unafikiri ni wangapi wataanza kuisaka hiyo pesa?Ni wangapi wanatafuta hiyo pesa ya SA kwenda kukitumia huko SA then uilingananishe na wanaotafuta pesa ya Marekani kwa ajili ya kukitumia.
Dollar kuanguka leo au kesho sidhani.
Mtoa mada kachagua kipengele kimoja tu kidogo kati ya vingi vinavyofanya dola ya USA iwe na nguvu. N combination of factors na siyo mafuta pekee. Ni wazi kuwa hakuna kitu kinachodumu hasa dola lenye nguvu (nchi) kwa sababu historia inatufundisha hivyo. Lakini sioni hayo aliyoyayasema yakitokea sasa hivi tena kwa haraka namna hiyo.Hadi leo mtoa mada ujafahamu kwanini Dollar ina nguvu? Ukiwa mzalishaji mkubwa wa vitu na teknolojia watu watakuja kununua kwako kwa njia rahisi uliyosema.
Sasa chukulia SA atauza mafuta kwa pesa yake, swali ni kuwa yeye atanunua vingapi kwa pesa ya wengine?
Nchi nyingi zinaanza kufanya makubaliano ili zifanye biashara kwa kutumia sarafu zao. BRICS wanapambana kushusha utawala wa dola. Saudi Arabia wanasita kusaini mkataba wa Petro dollar. Kuna harakati nyingi sana za watu kutaka kuachana na dollar. Kitendo cha akiba ya dollar za Russia kuwa frozen kimewafanya watu wengi waanze harakati za kuikimbia dollar.Swali : Dola itaanguka???
Jibu: Ndiyo itaanguka, lakini ni ngumu kutokea kwa sasa!
Sababu ni nini? Uchumi wa dunia umetengenezwa na kushikamanishwa kupitia dola, kuanguka kwa dola ni kuanguka kwa uchumi wa dunia.
Siku dunia ikiamua kuacha kutumia dola kama sarafu kwenye hifadhi zake kwenye nyanja mbalimbali basi huo ndiyo mwisho wa dola!
Unaona kuna nchi inayojaribu kufanya hivyo kwa sasa??
Sifahamu uelewa wako kuhusu uchumi wa dunia, inaonekana unataka kubishana, nimesema hapo juu, dola itaanguka kwani hakuna kitu kisichokuwa na mwisho hapa duniani.Nchi nyingi zinaanza kufanya makubaliano
Nani alikuambia USA hana mafuta ya kutosha ardhini mwake?Unatumia maana US anakuwa na uhakika wa kwenda kuitumia kununulia mafuta SA