Sajo
Platinum Member
- Nov 8, 2010
- 4,452
- 7,951
January ndiye aliyefungua na kuendesha akaunti ya twitter ya Magufuli na hata akaunti ya Samia Suluhu. Mnapopewa pole au pongezi, basi meneja muandishi ni JanuariKigogo umfahamu mpaka leo?
Kigogo ni account iliyoendeshwa na watu 3
Makamba, Nape na Ridhiwani Kikwete!!
Yaani katika akaunti 8 tu ambazo akaunti ya Magufuli imezifollow, Makamba ni moja ya akaunti hizo akiwa mtu wa kawaida tu na zilizobaki ni akaunti za marais kina Museveni, Kagame, Obama nk
Kwa JPM alivyokuwa isingewezekana kumfollow Makamba au Obama.