Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,953
- 56,085
Mlawa aliishia kushikwa na kigugumizi.. Ila sio yeyeSio mlawa tena ?
Mlawa aliishia kushikwa na kigugumizi.. Ila sio yeyeSio mlawa tena ?
Ni "Britannica" tupo naye kitambo na habari za uhakika toka chunguni.Wakuu leo nimewaza tu. Ukute kigogo ni huyu pole pole.
Uzi tayari
oktoba tunatoka
No reforms no election kataa wahuni
KumbeNi "Britannica" tupo naye kitambo na habari za uhakika toka chunguni.
ZZK hakuwepo? Maana kuna siku alijichanganya sana kwenye post, ni kama alisahau kuswitch account hivi😄Kigogo umfahamu mpaka leo?
Kigogo ni account iliyoendeshwa na watu 3
Makamba, Nape na Ridhiwani Kikwete!!
KumbeMtandao
Kigogo 2014 si mwingine bali ni ZItto Kabwe, kale kajamaa ni zaidi ya jini hakafai kabisa katika jamii maana kila akionekana watu wanahisi wanapatwa na mikosi maishani.Wakuu leo nimewaza tu. Ukute kigogo ni huyu pole pole.
Uzi tayari
oktoba tunatoka
No reforms no election kataa wahuni
Yule ni jini kweliKigogo 2014 si mwingine bali ni ZItto Kabwe, kale kajamaa ni zaidi ya jini hakafai kabisa katika jamii maana kila akionekana watu wanahisi wanapatwa na mikosi maishani.
🤣🤣🤣 wana mtandao hapo kuna wengiZZK hakuwepo? Maana kuna siku alijichanganya sana kwenye post, ni kama alisahau kuswitch account hivi😄
Nilicheka sana ile siku ile🤣🤣🤣 wana mtandao hapo kuna wengi
na informer wa kigogo alikuwa SamiaKigogo umfahamu mpaka leo?
Kigogo ni account iliyoendeshwa na watu 3
Makamba, Nape na Ridhiwani Kikwete!!
Sidhani, kwa mawazo yangu ni kuwa mmiliki ni yule mtu mzito ambaye watu wanaweka mabango toka Namanga mpaka arusha.Kigogo umfahamu mpaka leo?
Kigogo ni account iliyoendeshwa na watu 3
Makamba, Nape na Ridhiwani Kikwete!!
Haha alifanyaje mkuuNilicheka sana ile siku ile
Mtatoka kupiga kura nyie vibaraka wa mafisadi mlio kubali kutumika ili wenzenu waendelee kulinda mali zao na kuzijenga familia zao wakati huo wewe unakula peke yako visent unavyo hongwa huku familia yako na ndugu zako wakitaabika. unawapigia debe wenzio ambao watoto wao wanaendesha magari ya BILIONOKTOBA TUNATOKA KUMPIGIA KURA SAMIA
Aliye imba huo wimbo hajui hata maana ya uzalendo ninini.View attachment 3458867 Watajitaja tu
Saaaaafi sana mkuuu tungekua karibu ngekununulia pepsi kwa mangi hapa. Hawa mabumunda yana dhani yanatiki kuikomoa chadema ..? Wakati yana halalisha wezi wa rasilimali kuwa huru na kuzidi kuzikamuaMtatoka kupiga kura nyie vibaraka wa mafisadi mlio kubali kutumika ili wenzenu waendelee kulinda mali zao na kuzijenga familia zao wakati huo wewe unakula peke yako visent unavyo hongwa huku familia yako na ndugu zako wakitaabika. unawapigia debe wenzio ambao watoto wao wanaendesha magari ya BILION
Swali jema. Ila watajibu sasaAliye imba huo wimbo hajui hata maana ya uzalendo ninini.
Kuna post ilitumwa na mtu ikisema.... kwa mfano Zitto akienda CCM..., sasa aliyejibu alipaswa kuwa ZZK ila sasa ilijibu akaunti ya Kigogo ambaye aliandika, "Siwezi kuhamia CCM".. ilikuwa mida ya saa 11 asubuhi hivi, waliokuwepo online wakaanza kucheka, jamaa amesahau kuswitch account..dakika kama 10 hivi ile comment ya kigogo ikafutwa, tukajiongeza😀Haha alifanyaje mkuu
Na bora usieleweSijaelewa kitu hata