Ukute pole pole ndiye kigogo 2014. Nimewaza tu

Ukute pole pole ndiye kigogo 2014. Nimewaza tu

Wakuu leo nimewaza tu. Ukute kigogo ni huyu pole pole.
Uzi tayari
oktoba tunatoka
No reforms no election kataa wahuni
Ukimsikiliza Polepole utagundua Kigogo ni jk maana polepole anasema jamaa alikuwa anamhujumu yaani habari za serikalini zinamagwa ovyo ili magu aonekane hafai. Pia kumbuka ile ishu ya kuongeza muda wa kukaa madarakani jk alijaribu kumchonganisha na wananchi, pia kumbuka pale kwenye msiba wa magu jk alisema habari za kwamba magu kafa aliziona kwa bwana yule aka kigogo. Nadhani hata wakina Lisu hapa jk aliwatumia bila wao kujua hata muhusika wa shambulio la Lisu ipo namna jamaa alitoa ushahuri lengo ni magu aonekane hafai.
 
Back
Top Bottom