Mi kuna shairi nalipenda lkn silikumbuki sawa sawa. Linaanza hivi:-
karudi baba mmoja, toka safari ya mbali.
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili.
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali.
Wakataka na kauli, iwafae maishani.
Kama kuna anayekumbuka hili shairi lote naomba aliweke hapa.