Ukumbi wa harusi

Ukumbi wa harusi

Sacsosanct

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
65
Reaction score
94
Habari wanajamvi: nahitaji ukumbi wa harusi usiozidi milioni mbili mwezi wa kumi, maeneo ya makumbusho, dar. Isiqe mwenge au mbezi beach au sinza, iwe exactly makumbusho. Anayejua kumbi maeneo hayo msaada tafadhali. Natanguliza shukrani.
 
Sisi tunalia na dp world we unatuzunguka unaenda kuoa 😏
 
Back
Top Bottom