Soko lako unategemea litakuwa wapi na wewe utalima wapi ? Sababu kama utasafirisha kwenda kuuzia pengine faida yako itabidi utoe bei ya usafirishaji.., cha muhimu angalia kwanza soko, au ulizia bei ya vitunguu sehemu tofauti tofauti wakati wa msimu na sio wa msimu, alafu ulizia pia kilimo cha vitunguu kwenye hizo ekari zinagharimu kiasi gani na utapata kiasi gani