Ewaaaa! Umesema kweli mkuu. Benki hutengeneza faida zaidi wateja wanapo kopa. Nani anakopa siku hizi? Hiyo faida wameitengeneza vipi?Hii bila shaka itakuwa ni baada ya kukusanya madeni kwa kupiga minada mali za wateja na kuongeza riba ili kufidia mikopo iliyoshindwa kulipika.