Marekani haina kawaida ya kugawa advanced weapon systems zikiwa latest au ikiwa haina quantity ya kutosha kwenye inventory. Labda kwenye silaha ndogondogo kama Switchblade 300 & 600 ambazo hata Pentagon haijawahi zihitaji.
Wanazo Abrams version ya kwanza zaidi ya 100 ziko storage facilities ila hawazitoi. Wanazo F-16 kibao za mwanzo hawana mpango wa kuzitumia ila hawazitoi. Kwanza tukubaliane kwamba Marekani haina mpango vita iishe mapema. Hataki Urusi ishindwe vita waendelee na mambo mengine, anataka aamshe kitu fulani ndani ya Kremlin na kwenye population. Russia akileta mbinu mpya na Marekani anatangaza nguvu mpya