Ukraine yataka mazungumzo na Urusi

Ukraine yataka mazungumzo na Urusi

Kuhusu NORTH KOREA,Yeye Ana Mabomu 10 TU ya Nyuklia kwahiyo hata akiacha atupe Mabomu yake Marekani atateketeza Miji 10 ya Marekani Kati ya 358. Kwa upande mwingine,NORTH KOREA ana miji 7 Mikubwa. Marekani akituma Makombora Yake ya Nyuklia 3500 nadhani unaona kabisa Makombora Mengine hayana pa Kupiga kabisa.
Wewe mzee uliyahesabia wapi!? Ondoa propaganda za kitoto.
 
Kumbe Chechnya nayo ipo kwenye Vita. Kwa hivyo nchi mbili zinapigana na nchi Moja.
Siku hizi Chechnya imekuwa nchi inayojitegemea!? Chechnya is a part of Russia Federation.

Mzee nenda shule kwanza.
Screenshot_20220226-151351.png
 
Ndege za jeshi za marekani zimewasili Sky news ina report .Na wana jeshi 100 na Biden na Boris to speak very soon I think mother of all Bonn litamtishia Putin litarushwa Russia I’m so scared .Things can get very ugly
Relax
 
Kituo kinachofuata ni afrika,bcs km ulaya wamesumbuliwa hivi na Putin Africa tutamuweza kweli?
 
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Rais wa #Urusi, Vladimir Putin kuzungumza mgogoro uliopo ili kunusuru raia wasio na hatia

Viongozi wa #China wamesema Urusi ipo tayari kwa mazungumzo. Walitoa kauli hiyo baada ya Rais Putin kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa China, Xi Jinping

Rais Putin ameonesha utayari wa kutuma wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo

===
In a new video message on Friday, Ukraine's President Volodymyr Zelensky again called for direct talks with Russian leader Vladimir Putin.

Speaking in Russian, Zelensky said: "I would like to address the President of the Russian Federation once again. There is fighting all over Ukraine now. Let’s sit down at the negotiation table to stop the people’s deaths."

Zelensky returned to the theme of international sanctions against Russia, which he wants to be much tougher.


Europe has enough strength to stop this aggression. What to expect from European countries -- the abolition of visas for Russians, disconnection from SWIFT, complete isolation of Russia, the withdrawal of ambassadors, oil embargo, closing the airspace - all this must be on the table today," he said.
Zelensky also made a direct appeal to the people of Europe.

"Go out, go out on the squares. Demand the end of this war. It is your right. When bombs fall in Kyiv, this is happening in Europe and not just in Ukraine. When missiles kill our people it is killing of all, all Europeans."

"Call your governments for Ukraine to receive more, more financial and military assistance. because this help is the help for you, for Europe."

"This is not just Russia's invasion of Ukraine. This is the beginning of the war in Europe," he said.

Russia willing to negotiate, says Chinese state media: In a phone call Friday with Chinese President Xi Jinping, Putin said Russia is "willing to conduct high-level negotiations" with Ukraine, according to Chinese state broadcaster CCTV.

Putin said the US and NATO have “long ignored Russia's reasonable security concerns and repeatedly reneged on their commitments,” and their “continuous advance of military deployment eastward” has “challenged Russia's strategic bottom line,” CCTV reported.

Xi said that China "decides its position based on the merits of the Ukraine issue itself” and that China supports Russia and Ukraine resolving their issue through negotiation, the report added.

It also said "China is willing to work with all parties in the international community to advocate a common, comprehensive, cooperative and sustainable security concept."
huyu msanii tatizo anaongelea pande zote za mdomo... anaomba maongezi wakati anahamasisha vikwazo, silaha nk
 
huyu msanii tatizo anaongelea pande zote za mdomo... anaomba maongezi wakati anahamasisha vikwazo, silaha nk
Mpuuzi sana wacha makombora yaendelee kupigwa anataka mazungumzo halafu huku anataka vikwazo zaidi, amekuwa kama panya
 
Back
Top Bottom