siku365
Member
- Jan 19, 2014
- 86
- 7
Atimaye bunge la Ukraine limemteua Mr Oleksandr Turchinov kuwa raisi wa muda wa nchi hiyo,baada ya raisi aliyekuwepo madarakani Mr Yanukovich kuyakimbia makazi yake na kutokomea kusikojulikana.Mr Turchinov atakuwa raisi mpaka hapo uchaguzi utakapofanyika mwezi Mei 2014
Source: Al jazeera
Source: Al jazeera