Ukraine wakinukisha Kharkiv pia, HIMARS zachana anga

Mna fikiri Super Power Russia atayaachia maeneo aliyoteka ama hizo Himars za misaada ziyasaidia lolote? Niwasaidie Jambo hapa, Russia anaweza angamiza kabisa Ulaya.

Kiy vha
Rais wa Ukraine athibitisha wanajeshi wa Ukraine wachukua Kharkiv

May be in his wild dreams - ukimsikiliza Zelensky ni burudani tosha, sina shaka na ubwiaji wake wa unga unachangia katika njozi zake.
 
Ulaya mbali Sana,Mwambie Urusi arushe hata Rocket pale Latvia au Lithuania uone Moto wake.Tangu mwaka 1949,Article 5 ya NATO haijawahi kujaribiwa tuone kitakachotokea. Hata sisi tunatamani Urusi arushe japo Kombola kwenye nchi mwanachama wa NATO ili tujue kweli NATO inaiogopa Urusi au laa. Mpaka Sasa tunachojua Ni kwamba Licha ya Poland kupitisha Silaha kwenda Ukraine waziwazi lakini Urusi hajathubutu kupiga hata Kombola huko Poland. Kwahiyo Mpaka Sasa Unafikili ingelikuwa Poland sio mwanachama wa NATO si Urusi ingelikuwa imeshaishambulia? Mpaka Lithuania anaivimbia Urusi kweli? Najua Ni kwasababu Lithuania Ni mwanachama wa NATO.Si unaona akina Moldova na Georgia wanavyotishiwa na Urusi siku za hivi karibuni? Kwasababu Georgia na Moldova sio wanachama wa NATO.
NATO ilianzishwa na Marekani ili azilinde nchi za uko na Urusi, tangu zaman Urusi anapenda sana kuvionea vinchi vidogo, ndo Marekani akaanzisha NATO ili azilinde
 
Article 5 haijajaribiwa una uhakika?
2020 Iran iliipiga kwa makombora kambi za Marekani ( NATO)kule Iraq.
2012 Syria ilitungua helicopter kadhaa za kituruki ( NATO) katika kile kilichoitwa uchokozi.
Kumbuka TU kwamba kambi yoyote ya US ya ugenini I we Ujerumani, au saudia ikipigwa Ni Kama Marekani yenyewe imeguswa.
Kwanini article five haijatumika.
Ivi unajua unachokiandika au umedandia tu tren kwa mbele
 
Ulaya mbali Sana,Mwambie Urusi arushe hata Rocket pale Latvia au Lithuania uone Moto wake.Tangu mwaka 1949,Article 5 ya NATO haijawahi kujaribiwa tuone kitakachotokea. Hata sisi tunatamani Urusi arushe japo Kombola kwenye nchi mwanachama wa NATO ili tujue kweli NATO inaiogopa Urusi au laa. Mpaka Sasa tunachojua Ni kwamba Licha ya Poland kupitisha Silaha kwenda Ukraine waziwazi lakini Urusi hajathubutu kupiga hata Kombola huko Poland. Kwahiyo Mpaka Sasa Unafikili ingelikuwa Poland sio mwanachama wa NATO si Urusi ingelikuwa imeshaishambulia? Mpaka Lithuania anaivimbia Urusi kweli? Najua Ni kwasababu Lithuania Ni mwanachama wa NATO.Si unaona akina Moldova na Georgia wanavyotishiwa na Urusi siku za hivi karibuni? Kwasababu Georgia na Moldova sio wanachama wa NATO.
Kwa NATO ipi?

not at the pathetic state thry sre now ....they will be annihilated
 
Kharkiv ndio sehemu ilidhaniwa counter offensive itaanzia. Build up ilikuwa kule na ilidhaniwa Ukraine atafanya shambulizi sehemu mojawapo, baada ya August counter offensive ikaonekana Kharkiv itaachwa kwanza kumbe surprise. Hawa wapiganaji na reinforcements za kupigana fronts zote Ukraine inao kweli au inakuaje. Maana inabidi uwe na uwezo wastani wa three times ya defensive opponent, kama ana wapiganaji 10,000 ukienda mshambulia nenda na 30,000 maana ana vitu kama trench, landmines na defensive lines.

Ukraine ina wanajeshi nje wanafundishwa hasa na UK ila wale ni wataalamu kama artillery men. Ndani ya nchi maeneo ya kupakana na Poland labda ndio kuna mafunzo ya kuleta wapiganaji wapya
Hii ni lugha ya Teja Zelensky kupata msaada zaidi ...ili oneksne kuwa anashughulika ...anajitahidi kubweka ...muda uraleta majibu ya hiyo counter offebsive inayopigwa kalenda ...tangu May ...something big will happen in August ...August hiyooo ikapita ...
 
Kharkiv ndio sehemu ilidhaniwa counter offensive itaanzia. Build up ilikuwa kule na ilidhaniwa Ukraine atafanya shambulizi sehemu mojawapo, baada ya August counter offensive ikaonekana Kharkiv itaachwa kwanza kumbe surprise. Hawa wapiganaji na reinforcements za kupigana fronts zote Ukraine inao kweli au inakuaje. Maana inabidi uwe na uwezo wastani wa three times ya defensive opponent, kama ana wapiganaji 10,000 ukienda mshambulia nenda na 30,000 maana ana vitu kama trench, landmines na defensive lines.

Ukraine ina wanajeshi nje wanafundishwa hasa na UK ila wale ni wataalamu kama artillery men. Ndani ya nchi maeneo ya kupakana na Poland labda ndio kuna mafunzo ya kuleta wapiganaji wapya
Na hilo la mafunzo ...Jeshi la Ukraine limekuwa mafunzoni tangu 2014 ...lilijisndaa kuja kuleta chokochokobsema Kamanda Putin akawalia yiming na sasa wanasagwa taratibu ...
 
Unaongea pumba NATO wenyewe wanaogopa kukutana USO Kwa Uso na Russia na kila siku wanalisema hili.kuhusu kuwapa silaha huwezi kumpangia Ukraine mahali pa kuchukua silaha.
Kudhihitisha hilo ...they threw everything on Russia ..except sending troops to Ukraine

Pro NATO ...hamkai kujiuliza swali rahisi mno ...Western Ukraine ..kule Lviv na Galicia....mbona kuko accessible....kwanini jamaa hawatii team kule wakaweka hata videge vyao ama hata battalion 1?
 
Kiy vha

May be in his wild dreams - ukimsikiliza Zelensky ni burudani tosha, sina shaka na ubwiaji wake wa unga unachangia katika njozi zake.
Eti mji umekombolewa ..bendera inatwekwa kwenye paa la banda fulani ...kama mwanaume atuonyeshe video wakiweka bendera town square ama kwenye authority blg yoyote
 
Mna fikiri Super Power Russia atayaachia maeneo aliyoteka ama hizo Himars za misaada ziyasaidia lolote? Niwasaidie Jambo hapa, Russia anaweza angamiza kabisa Ulaya.
Kwani atayaachiwa kwa kupenda?bali unalazimishwa!!Russia hana uwezo huo eti kuiangamiza ulaya!!!unafikiria ulaya ni CAR?,
 
Back
Top Bottom