Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,520
- 3,770
Vile vifaru ni vya zamani sana tena inawezekana kabla hujazaliwa. Ilikuwa inatafutwa sehemu ya kwenda kuvidampu. Russia kama kaishiwa kwanini kila siku mnapeleka silaha Ukraine?? Kama Russia kaishiwa kwanini miji inazidi kwenda na maji?? Na hpo Russia hajaanza kutumia jeshi. Amewaachia mgambo na wafungwa mcheze nao kwanzaPutin kachoka sana kumbuka alianza na vifaru msururu toka gongo la mboto hadi posta sasa anaazima silaha iran lakini anakodi makundi ya Wagner na islamic state toka syria vijana wake 400 na wanajeshi wake wote wamefyekwa