Acha kujitoa ufaham wewe -----....kwa iyo unabisha kwamba pro-Russian rebels hawawi backed na Russia?
sio kila kitu ni propaganda kama unavyokariri wewe..fungua ubongo wako na uchunguze vitu..
Na hata siku moja huwezi kusikia RT wakiandika habari kama hii coz kila siku wako buzy kuisifia Russia na kuponda moves za US na kusema ni propaganda....Na ndiko unakokesha wewe huko RT kukaririshwa kwamba U.S ni mbaya sana kwa moves zake..Then mkikimbia mavita uko kwenu midle east na Africa mnakimbilia ulaya na U.S badala ya kwenda russia ambaye yuko jirani kabisa na nyie...Hamjielewi kabisa nyie.
BTW....Hujapata ile greencard bado mkuu upae U.S?..