mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nampongeza sana Msemaji wa CCM Bw.Ole Sendeka kwanza kukubali kuwa CCM inahitaji maombezi kutokana Na wananchi kuichukia Na halo hiyo ilijionyesha wazi wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 uchaguzi uliopelekea Vyama vya Upinzani kufanya vizuri sana licha ya CCM kuitumia Serikali.Mfano mzuri ni Wapinzani kuyadhibiti Majiji yote.Kwa kuwa Bw.Ole Sendeka ameomba tusaidie mawazo ili CCM ikubalike ninashauri kuwa:
1.CCM ilirudishe Azimio la Arusha ambalo uongozi wa Awamu ya Pili ulilifuta Na madhara yake tumeyaona yanavyomsumbua Mh.Rais Magufuli.Viongozi wakubwa ndio wamekuwa Mafisadi Na wala Rushwa Kwa nchi haina Miiko kama Azimio la Arusha lilivyokuwa nayo.
2.CCM ikubali Rasimu ya Pili ya Katiba ya Warioba kwani Yale ndio maoni ya Watanzania.Kitendo cha CCM kuhodhi Rasimu Na kuibadilisha inawadharau watanzania.Wananchi ili waishi Na kufaidi keki ya nchi yao walipendekeza mambo mengi likiwemo la muungano, kuzuia viongozi kuweka fedha nje ya nchi lakini CCM ilisema ruksa kuweka fedha nje ya nchi ila Kwa Kibali.Mambo in mengi lakini hayo ni baadhi ya mambo yanayowakera Watanzania Na kuichukia CCM.Rais Magufuli angetawala KwaRAHA kama Nchi ingekuwa Na Katiba iliyoridhiwa Na watanzania wote pia kama viongozi watabanwa Na miiko.Wakati wa Azimio la Arusha ilikuwa marufuku kiongozi kuwa Na HISA katika Kampuni au Shirika lakini Leo viongozi ndio wanaongoza kuwa Na hisa nyingi je Shirika likifanya kosa in lazima alitetee ili kulinda hisa zake.Viongozi wamekuwa Na Mahekalu fedha za kujengea in wizi Na Ufisadi