Ukosefu wa maji maeneo ya Nyakato National na Mwananchi

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,519
Leo ni siku ya pili tangu kuwepo na ukosefu wa maji katika maeneo hayo yaliyotajwa lakini taarifa kutoka MWAUWASA haijatujulisha sababu zilizopelekea maeneo haya kukosa maji. Tunawaomba MWAUWASA kila inapotokea ukosefu wa maji basi watueleze kwa njia ya luninga, redio n.k. ili tuwe na tahadhari. Tuna hali mbaya sana majumbani mwetu ukichukulia maji ndiyo kila kitu. Tupeni maji.
 
Back
Top Bottom