Ukosefu wa huduma ya umeme jijini Mwanza

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Leo tarehe 1. 12.2016 hapa Jijini Mwanza kumekuwa na uoksefu wa umeme tangu saa mbili asubuhi mpaka muda wa saa kumi na mbili. Chonde chonde tunawaomba TANESCO kututaarifu mapema ili tufahamu kuwa kutakuwa na ukosefu wa umeme ili tutafute mbinu mbadala. Leo wananchi wamehangaika sana kwa vile umeme ndiyo kila kitu katika maisha ya mwananchi aishie mjini.
 
Back
Top Bottom