Ukonga Mombasa kimenuka tena

acheni uzembe ninyi watu, hao askari bila shaka hawana siraha kwa sababu hakuna mkuu wa kituo
mjinga kiasi hicho cha kuwapa siraha, pili hawapo hapo rasmi (hawajatumwa), sasa ninyi mnashindwa nini kutoka na mapanga, marungu na mashoka muwakoboe hapo hapo "live". acheni uzembe bana
 
Chukueni hatua zozote zile za kujilinda, siku mkienda kuripoti polisi mtaambiwa hivi "Hao hawakua polisi, ni vibaka waliojifanya mapolisi ili kuibia watu. Tunawaomba wananchi kushirikiana na jeshi la polisi ili tuwakamate vibaka hao" Wamemaliza
 
Miafrika sijui tukoje. Yani badala mdiscuss ni jinsi gani tatizo linaweza kushughulikiwa, ndio kwanza kuna mijitu inadeviate from the topic ya mtoa mada... mara wanaume wa Dar sijui nini! Sasa where is the relevance hapo? Kweli JF hamna content tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…