Ndingaa ya maana sana hii kitu nikiwa mkubwa ntaomba kupiga nayo ata pichaWahamie Nissan Fuga!
Kabisa yaani wanawaza sana hizo gari na BMW wanaona kama zinawakimbiza hivi...Anyway labda ndo market strategies zinavyotaka ila CROWN sedan ni best Japenese car inayokidhi viwango vya ubora.Mnyama nilikiwa namkubali sana kwenye safari ndefu kitu kimetulia puling ya kutosha TOYOTA, shida wanamuwaza sana RANGE ROVER ..... wabaki kwenye mstari tu vinginevyo mambo yatakuwa magumu sana
Ofcoz Yes bado zipozipo sana kwa sokoPia tukumbuke kuwa hizi crown ambazo zimejaa hapa Tanzania ni za kitambo kuanzia 2005-2013..
Sasa kama matoleo yanaishia mwakani naona bado kuna muda mwingi wa kuendelea kuagiza haya Magari,nahisi bado crown zitaendelea kutumika mpaka mwaka 2030
Germans wapo kwenye ligi yao.Kabisa yaani wanawaza sana hizo gari na BMW wanaona kama zinawakimbiza hivi...Anyway labda ndo market strategies zinavyotaka ila CROWN sedan ni best Japenese car inayokidhi viwango vya ubora.
Wadau wa Sedan za Toyota watahamia kwenye Toyota CenturionView attachment 1628133
Habari kutoka mtandao wa chunichi.co.jp unaeleza kuwa gari za Sedan Toyota Crown zimefikia ukomo wa utengenezaji wake baada ya kutoa updated version ya mwaka 2021.
Sababu kubwa ya kufikia ukomo wa magari haya pendwa na yenye 'high perfomance and comfortability' ni mauzo madogo katika soko la kimataifa. (Just remember kuna kipindi Toyota Crown sedan hazikuuzwa kabisa katika soko la US). Utakumbuka Toyota Crown zilianza uzalishaji mwaka 1955 na zinafikia ukomo wake mwaka 2021.
Mtandao huo unaendelea kuhabarisha kuwa Mbadala wa sedan hizo itakuwa ni Toyota Crown SUV gari ambazo bado zitaendelea kutumia jina la 'CROWN' zitakuwa na platform ya 'Toyota Highlander'. Toyota Crown SUV hizo zitakazoanza uzalishwaji wake mwaka 2022 zitajikita zaidi katika soko la Kimataifa la Marekani pamoja na Uchina. Gari hizo zitakuwa na mifumo mingi ya kiusalama hasa zikikaribiana na kitu chochote (pre-crash safety, pedestrian detection, cyclic detection nk).
Maoni ya wanamtandao wengi wamestushwa na habari hizo kwani gari hizo zimeonekana kupendwa sana hasa na vijana kutokana na muundo wake pamoja na perfomance yake, na wameenda mbali zaidi kwa kudai kuwa gari za juu aina ya SUV zipo nyingi sana kwanini TOYOTA wamekuwa na akili mgando za kuachana na utengenezaji wa gari hizo.
Haya wale wamiliki wa ndege za chini habari ndo hiyo, itabidi muanze kutafuta mbadala wa sedan hizo labda mnaweza kuhamia kwenye Toyota Avalon kwa sasa.
Wadau wa Toyota Crown watahamia kwenye Toyota Century.View attachment 1628133

Wabongo wakisikia hio kitu ni V12 tu interest yao imeishia hapohapo,wewe waambie tu tu mambo 1zz-fe/1kr-fe hapo watakusikiliza.Wadau wa Sedan za Toyota watahamia kwenye Toyota Centurion
Wadau wa Toyota Crown watahamia kwenye Toyota Century.
Toyota Century ni mnyama zaidi ya Crown Kwa Tanzania itaogopeka sababu ya fuel consumption.
Hatari sana Toyota Century yeye ni mwendo wa V12 na V8. Muundo wa body hawajaweka sana mbwembwe.Wabongo wakisikia hio kitu ni V12 tu interest yao imeishia hapohapo,wewe waambie tu tu mambo 1zz-fe/1kr-fe hapo watakusikiliza.
Wabongo hawataipenda Century kabisa maana imekaa kifaza/kizamani lkn mimi naikubali kishenzi maana najua wajapan waliitengeneza kwa ajili gani.
Wewe ni mjapan?Wabongo wakisikia hio kitu ni V12 tu interest yao imeishia hapohapo,wewe waambie tu tu mambo 1zz-fe/1kr-fe hapo watakusikiliza.
Wabongo hawataipenda Century kabisa maana imekaa kifaza/kizamani lkn mimi naikubali kishenzi maana najua wajapan waliitengeneza kwa ajili gani.
We jamaa bwana πππ cc5000 za nini sasa tena kwenye sedan!Wadau wa Sedan za Toyota watahamia kwenye Toyota Centurion