Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Aisee! parefu sanaKama anasoma UDSM inawezekana kupiga miaka hata 9. Wale jamaa ni wadzwanzi balaa hasa kama undergraduate hukusoma pale. Jamaa zangu wa ofisini wana huu mwaka wa 8, mwingine ameamua kuachana nayo kabisa.