Mkuu kuna form six leavers wengine wana wana ujuzi wa fani mbalimbali kuliko hata hao graduates.Hivi unajua kwamba kwenye taasisi nyingi tu au ofisi za umma kuna form six na four wengi tu?Na wengine walishafanya kazi huko lkn sasa hivi wapo mitaani kwa namna moja au nyingine?