Ukombozi wa wasio na ajira

Jumamosi ni sabato ya bwana mungu wetu,afu wewe unasema umeandika kwa haraka coz uko kwenye majukumu ya kitaifa,wewe ni mwanasiasa lazima hutufai kiukweli ndugu yetu,sijui na sidhani kama uko serious na mradi kama unaanza na siasa wakati wewe una ajira tayari na vijana wenzako hawana,tunataka mpambanaji mwenzetu,fresh ideas asiye na ajira kama wewe tafadhali,next time uwe serious na biashara.
 
Hapana Catherine huu no uwanja na wanatoa maoni kama vijana Je@clouds uwezi kuaamini kuwa wanaweza kutusaidia vijana na ukweli uliopo kama hawatawahi basi watafika lakn wengine watakuwa wameshatimiza kwani hela ndio kila k2 ila vijana hawapaswi kuvunjika moyo...fanyeni kazi hakuna msaada mwingine ....
Kiukweli kufikia malengo sio kitu kidogo haswa ukizingatia hakuna pesa ya haraka nawapa hongera sana katika maamuzi yenu kwani hata mie nimeamua kulima kilimo cha mananasi ekari 10 kwa kumwagilia naam fanyeni kazi kwani kidogo_kidogo ndio mwendo...
 
VP graduate waliokua nje ya Dar?
 
Bonge la idea na wengi kazi hatuna
 
Sabato halafu unafanya ngono jumamosi jumamosi k.enge maji ww..!! Mtu katoa wazo zuri unaanza kuleta u.....*a


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

mkuu nashukuru kwa ushauri wako, tunaufanyia kazi
 

mkuu, naisi usikatishe watu tamaa, tunaitaji sana watu wenye ajira, kwa maana, kama association ikiwa na watu ambao hawana ajira, pia hilo ni tatizo, kwa sababu kuna mambo mengine yanaitajika fedha kwenye project, je tutembeze bakaru kwa wanasiasa??? na tukifanya hivyo tutatekwa na wanasiasa. kwa hiyo watu wote wanakribishwa, wenye ajira na wasiokuwa na ajira. asante
 
VP graduate waliokua nje ya Dar?

mkuu, nimesema hili jambo ni tanzania nzima, kwa hiyo mliopo nje ya dar, tunawaitaji sana, kwa maana nyie ndio mtakuwa wasimamizi wetu kwenye branch za mikoani. asanten na karibuni
 

hatuwezi kuepuka clouds, kwa maana huko ndipo tutakapo pata vijana wengi wa kuwa nao. na tunategemea wizara ya mambo ya ndani ikitupa kibali, mara 0ja tutaanza kuitangaza mweye media.
 
Vigezo kwa anaye hitaji kujiunga
mkuu, kigezo ni wewe kuwa graduate, au kama siyo graduate, basi uwe na fani yoyote ile, lengo ni kujikwamua na tatizo hili la ajira, na siyo kubaguana kwa aina yoyote.
 
pia wadau tunakaribisha mawazo yoyote yale, juu ya kuimarisha jumuiya hii, namba zangu zipo wazi tu.
 

Ni wazo zuri lakini limekaa kibaguzi!Unaposema ni kwa graduates pekee ina maana hawa wengine form 4 &6 leavers wao watasaidiwa na nani?Au wao si vijana wa kitanzania!
 

mkuu nashukuru kwa ushauri, ila wapo wenye ajira na ambao hawana ajira, so ondoa shaka.
 

Daaah kumbe mnahitaji wenye ajira.....nilipata furaha imeyeyuka kama barafu kwenye sufuria ya moto
 
Ni wazo zuri lakini
limekaa kibaguzi!Unaposema ni kwa graduates pekee ina maana hawa wengine
form 4 &6 leavers wao watasaidiwa na nani?Au wao si vijana wa
kitanzania!

mkuu hatuwezi kubeba wote,ila kwa sasa tunaanza na hawa wenye ujuzi kwanza, kisha tutakuja na wengine, kwani wapo kwenye mipango yetu ya mda mrefu.
 
Ni wazo zuri sana keep it up, sie tulianza wachache kama 24 hivi tulikua graduates kutoka vyuo mbali mbali kama nyinyi na sasa tuko mbali sana japo ilitubidi kugawanyika makundi mawili baada ya kugundua miongoni mwetu wapo watu waliokuwa na self ambitions zao na tukabaki kumi tu ambao ni single minded.

Nitandaa uzi baadaye jinsi ya tulivyoanza mpaka tukafikia, ila idea yenu ni idea nzuri sana, keep it up
 

Amen mkuu ukianzisha naoma untag(kama hutojali) ili nisipitwe
 
kwa hakika ni wazo zuri na sisi wa manyara ambao hatuweza kufika huko mtupatie feed back ya yatakayojiri huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…