Mbeya sio kwamba wanajielewa, ila wanapenda kesi.
Wasomi wa mwanzo kwao wengi walikua wanasheria, jamii ya Mbeya inaamini mwanasheria ndio msomi, na kushinda kesi au kuendeleza kesi baada ya kushindwa ni jambo la kishujaa kwao.
Ukitaka kujua Mbeya hawajielewi angalia kwenye takwimu za kitaifa kwa halmashauri kila mwaka kuna wilaya za Mbeya zipo juu (among top ten) kwenye Ukimwi, Mauwaji, Utapiamlo kwa watoto (pamoja na wingi wa vyakula walivyojaaliwa), na ushirikina.