Jamii inamchanganyiko wa hayo makundi yote uliyoyataja hapo juu, wajinga, wapumbavu, wasaka fursa, nk..
Kwenye mapambano, ni vyema kuanzisha ukiwa na dhamira yako ya dhati, wengine watajiunga nawe mbele ya safari wakija kuuona umuhimu wake.
Kuna wakati akili zetu huwa zinalala mpaka zije kuamshwa na tukio fulani ndio tuone umuhimu wa jambo lililoanzishwa na wale tuliokuwa hatuwaelewi mwanzo.
fact tupu mzee wang... ili ukombozi uje watu wanaitaj kiongoz wenye nia na kiongoz anaitaj watu wenye nia na uthubut ... kati ya hvy viwil kimoja kikiwa opposite n kingjne hakun ukumboz utaokuj hata siku mmojaMchakato wa kuitoa nchi katika hatua moja duni kwenda katika hatua nyingine bora zaidi kwa jina la ukombozi, unahitaji watu waliodhamiria kweli kweli.
Jukumu hili haliwezi kuwa la kila mtu. Nyuso za watu hawa, maneno, (nyuzi, posts) na matendo yao hujionyesha.
Inawezekana namna gani kuwasikia Nyerere, Museveni, Kagame, Sokoine, Putin, Mandela, Lissu, Mbowe, Mangula, Garang, Saddam, Milosevic, Thatcher, Gadaffi, XI, Mengistu, Mugabe, Castro, Obama, Kim na wa namna hiyo wakiwa carried kwenye mizaha au hadithi za mbususu, simba na yanga, man city na man u, vumbi la congo na ya namna hiyo?
Pana haja ya kukatumia ka litmus haka ka kupima kudhamiria, kuwaengua wengine kwenye harakati hizi ili kutosumbuka na kupoteza muda na watu wasiojitambua.
View attachment 2374229
Kuikataa mikono yenye damu hakuwezi kuwa nusu nusu.
"Mtu hawezi kuwa mguu mmoja ndani na mwingine nje."
Ukombozi hauhitaji watu wengi. Wasanii na waachwe kuendelea na usanii wao kwa raha zao.
Ukombozi hauwezi kuachiwa Mungu kutuletea bila ya sisi kuchukua hatua za makusudi.
View attachment 2374234
Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na lundo la waoga, wajinga, wapumbavu au wasaka fursa.
Ni vyema kujipima mwenyewe kutambua wewe ni asset au ni liability tukapeana nafasi kiroho safi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Umesema ukweli kabisa. Dhamira inaweza kuleta mabadiliko makubwa yanayowashinda wengi. Hata vijana wadogo kama Thomas Sankara, Jerry Rawlings nk waliondoa tawala kongwe zilizojaa ubadhilifu wakati wakubwa wao wa kijeshi majenerali nk wakishindwa kufanya.Mchakato wa kuitoa nchi katika hatua moja duni kwenda katika hatua nyingine bora zaidi kwa jina la ukombozi, unahitaji watu waliodhamiria kweli kweli.
Jukumu hili haliwezi kuwa la kila mtu. Nyuso za watu hawa, maneno, (nyuzi, posts) na matendo yao hujionyesha.
Inawezekana namna gani kuwasikia Nyerere, Museveni, Kagame, Sokoine, Putin, Mandela, Lissu, Mbowe, Mangula, Garang, Saddam, Milosevic, Thatcher, Gadaffi, XI, Mengistu, Mugabe, Castro, Obama, Kim na wa namna hiyo wakiwa carried kwenye mizaha au hadithi za mbususu, simba na yanga, man city na man u, vumbi la congo na ya namna hiyo?
Pana haja ya kukatumia ka litmus haka ka kupima kudhamiria, kuwaengua wengine kwenye harakati hizi ili kutosumbuka na kupoteza muda na watu wasiojitambua.
View attachment 2374229
Kuikataa mikono yenye damu hakuwezi kuwa nusu nusu.
"Mtu hawezi kuwa mguu mmoja ndani na mwingine nje."
Ukombozi hauhitaji watu wengi. Wasanii na waachwe kuendelea na usanii wao kwa raha zao.
Ukombozi hauwezi kuachiwa Mungu kutuletea bila ya sisi kuchukua hatua za makusudi.
View attachment 2374234
Ni heri kuwa na watu wachache waliodhamiria kuliko kuwa na lundo la waoga, wajinga, wapumbavu au wasaka fursa.
Ni vyema kujipima mwenyewe kutambua wewe ni asset au ni liability tukapeana nafasi kiroho safi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Panya road wauwaweTuko tofauti sana ndugu. Ndiyo maana tunawahimiza wengine kuendelea na mengine.
"Maana ya ukombozi imeelezwa kwenye mada. Unataka tukusomee kwa sauti ndugu?"
Evelyna mtu wenu huyo.
fact tupu mzee wang... ili ukombozi uje watu wanaitaj kiongoz wenye nia na kiongoz anaitaj watu wenye nia na uthubut ... kati ya hvy viwil kimoja kikiwa opposite n kingjne hakun ukumboz utaokuj hata siku mmoja
Umesema ukweli kabisa. Dhamira inaweza kuleta mabadiliko makubwa yanayowashinda wengi. Hata vijana wadogo kama Thomas Sankara, Jerry Rawlings nk waliondoa tawala kongwe zilizojaa ubadhilifu wakati wakubwa wao wa kijeshi majenerali nk wakishindwa kufanya.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
R. I. P JPM MUNGU akupunguzie adhabu ya kaburi
Kwa huu mfumo uliopo na watawala ni hawa hawa CCM harakati za namna hii binafsi hutakuja kushuhudia wewe wala wanao katika maisha yenu yote. CCM ni genge la kimafia hivyo unayo yaona kila uchaguzi yatajirudia na kila anaye wekwa nao madarakani anabadili chupa ila mvinyo ni uleule. Kama wenyewe hawaheshimu katiba kwa nini walindwe na hiyo katiba?Ni nia yetu kuendesha harakati hizi kwa amani na kwa mujibu wa katiba hadi ushindi kamili .
Inawezekana kwani penye nia Pana njia.
Shime waungwana.
Tuishi kulingana na hulka, mitazamo na tamaduni za watu wetu na kwa kuzingatia hizo tuandae mikakati sahihi ya ukombozi. ,Nafahamu hali ya kisiasa tuliyo nayo inaumiza na inakera. Lkn siyo sahihi kuchukua njia za akina Putin, Mandela ama Kim na kuzitumia kwa jamii kama ya watanzania. Utabaki peke yako na utafeli asubuhi sana.
Ndiyo maana hata Nyerere aliliona hilo akaamua kutumia njia ya ushawishi (lobbying) badala ya mtutu ili kuupata Uhuru wa Tanganyika. Alifanya lobbying ktk kipindi ambacho wimbi/fasheni ya kuutafuta Uhuru kwa mtutu ilikuwa juu Sana.
Lkn Nyerere akawasoma watanganyika akaona hatatomboa akitumia mtutu.
Kizazi hiki tumekwama wapi hadi tunakosa ubunifu tunalazimisha kukopa mambo ya miaka 1960s??
Kwa huu mfumo uliopo na watawala ni hawa hawa CCM harakati za namna hii binafsi hutakuja kushuhudia wewe wala wanao katika maisha yenu yote. CCM ni genge la kimafia hivyo unayo yaona kila uchaguzi yatajirudia na kila anaye wekwa nao madarakani anabadili chupa ila mvinyo ni uleule. Kama wenyewe hawaheshimu katiba kwa nini walindwe na hiyo katiba?
Alichofanya Jerry Rawlings kule Ghana ndicho kilikuja kuigeuza nchi ile kuwa yenye demokrasia ya mfano kwa Africa nzima leo hii