Sources ambazo zipo karibu na watu hawa. Wanatambua ukweli kuwa ni umoja huu pekee unaweza kuikomboa Tz na pia ni umoja huu pekee unaweza kuiangusha CCM. Sikulazimishi uamini anywaymkubwa!haya mambo wewe umeyapata wapi?unaposema kundi la sitta unamaanisha nani na nani?
kwani bila msaada wa akina sitta na mwakwembe ugumu wa cdm kuingia ikulu 2015 upo wapi? mbona dalili zote zipo wazi??Mwakwembe alificha baadhi ya kashfa za Richmond na Sitta aliifunga mjadala wa Richmond kihuni na hakuisukuma serikali itekeleze maazimio 23 ya bunge kuhusu sakata la Richmond!! Hwafai kwenye ukombozi!!
Kuna kaukweli fulani japo ni mtazamo wako. Kiukweli wale waliosafi wakitakakuja CDM 2tawapokea. Watafanyahvo na itawalazimu wafanyehvo kwani huko kwao(ccm)hawatakuwa na chao.