PostGE2025 Ukombozi, then reforms kubwa ni lazima!

PostGE2025 Ukombozi, then reforms kubwa ni lazima!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,228
Reaction score
14,841
Haya yote ambayo polisi na vyombo vya usalama wanayafanya ya kuteka, kutesa wananchi hata ambao hawajahukumiwa bado (ingawaje hata aliyehukumiwa hastahili kuteswa nje ya hukumu aliyopewa) yanaruhusiwa na ni sehemu ya training yao, na hawawezi kufanya tofauti, mtalalamika mnavyotaka lkn polisi wanakuwa trained ku-protect watawala against us na siyo kutulinda.

Ikumbukwe tuna jeshi la kikoloni, na ilikuwa hivyo wakati wa ukoloni, kenya walipoandika katiba mpya walibadilisha mambo mengi na kuleta ''jeshi la wananchi'' badala ya la kikoloni lililokuwepo ofcourse siyo perfect lkn ni way better klk letu, i mean jeshi la kenya leo hii haliwezi tu kuanza kushoot indiscriminately kama tanzagiza, hata AK walibadirisha baadhi ya mambo ktk jeshi la apartheid kwenda la wananchi, hivyo hata tanzagiza ni lazima tubadlishe mitaala, wataalamu wetu wapitie mafunzo ya polisi na wana usalama wengine na kubadilisha.

Hii ni kwa manufaa hata ya walio na power leo hii kwani siku wakiwa upande mwingine na kuwa maadui the same polisi watawafanyia wanayowafanyia wengine leo hii, kila mtu anastahili heshima na utu hata kama ni criminal bado ni binadamu ...
 
Back
Top Bottom