nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,802
- 4,450
Habari zenu Watanzania!
Leo mungu amenipa kibari ili niweze kuongea nanyi machache hasa yanayoendelea hapa nchini kwetu
Kwanza kabisa nataka niwakumbushe hasa kuanzia 2015 hadi 2021 march. Hiki ni kipindi ambacho Taifa letu pendwa lilishuhudia mambo ya ajabu na ya kutisha. Ilikuwa miili ya watu inaokotwa kwenye viroba mto ruvu, coco beach, mabwe pande na maeneo mengine mengi. Ndio kipindi ambacho idara ya police ilishindwa kudanganya kama ilivyokuwa imezoeleka kipindi cha nyuma kuwa mtu aktekwa basi atakatwa boya yoyote (kama ilivyotokea Dr. Ulimboka - akakamatwa Joshua Mulundi) kuwa ndiye aliyemteka lakini kipindi hicho ilishindikana.
Tundu Lissu alpigwa risasi hadharani cha ajabu hata paka tu hajawahi kukamatwa hiyo nadhani ndiyo kilichomuua anayetetewa na Polepole. Mungu ana tabia ya ajabu, akikubebesha ajenda utakumbana na mabo mengi ya kukutia vikwazo ili ukate tamaa na endapo waovu wataendelea kupambana na wewe bas mungu anatabia ya kuuwa hao wabaya na kuweka historia - Polepole hawezi jua hili maana baada ya kukosa ufahari aliokuwa nao kipindi kile kiovu sasa anakimbilia kulalamika.
Kifupi tu ni kuwa kuna kundi huwa lnaifanya ccm iendelee kuwepo madarakani na kufanya maovu ambayo yanaumiza wapenda haki.
Mimi ni mhanga wa utawala ulopita. Nilikamatwa na kupewa kesi kuwa nimemtukana jiwe, kwajinsi nilivyo mdogo sina uwezo hata wa kushawishi watu 10 sembuse kumtukana mtu tajiri kama alivyokuwa jiwe. Huko nilikowekwa nikisubiri kupigwa risasi ili wa justify nilimuona jiwe akiwa kwenye kampeni feki amechoka, sura imedhoofu, nikakumbuka ndoto niliyooota mwezi June 2020 kuwa nitapata tatizo litakalokomboa maisha yangu. Basi alipangiwa akale chakula maeneo salama kwake kule Msata unapoelekea mto Wami, dah nilipomsogelea kuthibitisha hali yake nilimuona amechoka sana, Mungu akaniamba hamalizi miezi miwili wote mnakumbuka kilichotokea akavuta kiroho safi. Kikundi chote cha waovu Mungu alikipukutisha kuanzia Jiwe alikokuwa anapitisha fedha za wizi hasa miradi feki (Mfugale) akavuata, akafuata alyekuwa anaamuru (command post) Katibu mkuu kiongozi (Kijazi) akavuata na akafuata yeye akavuta aliyekuwa anaidhinisha pesa (Mpango) akasamehewa sababu alikuwa hausiki na waliokuwa wanaendesha mauwaji nyote mtakumbuka.
Naeleza yote haya sababu Jiwe alikuwa muovu tena hata shetani hakumpenda. Ndio maana alipokumbwa na covid 19 haraka sana akaondolewa tukaanza kupumua.
Anayetukumbusha ya Jiwe amelaaniwa na tumpuuze na ikiwezekana huyo ni adui mkubwa wa watu wote. Sasa kinachofuata ni hiki ANAYE MSUMBUA LISSU AACHE LA SIVYO ATAFUATA NJIA ZA MTU MUOVU JIWE. NARUDIA TENA LISSU AACHWE HURU LA SIVYO TAKUWA HISTORIA.
Nawatakia Jumapili njema ya leo 31/08/2025. Hiki ni kipindi cha majilio ya Ujio wa Yesu Christo Masihi ambaye alikuja kwa sisi wanyonge ambaye ukimlilila anaondoa waovu kama alivyo fagia waovu. Kuuwa watu damu zao lazima zikulilie tu