Ukoloni unarudi kwa mlango wa nyuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukoloni unarudi kwa mlango wa nyuma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngambo Ngali, Sep 15, 2009.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  allAfrica.com: Tanzania: TIC to Promote JKT Land Bank (Page 1 of 1) The Tanzania Investment Centre (TIC) has agreed to market and promote a land bank owned by Suma, a corporation of National Service (JKT) force.
  The agreement, which will see NIC advertising the bank services to investors, was signed by TIC Executive Director, Mr Emmanuel ole Naiko and Col. Eliot Makafu who represented the Suma's director.


  Speaking at the function held in Dar es Salaam over the weekend, Mr Ole Naiko said SUMA which is a commercial arm of JKT, would be used to set example for others. "This agreement with JKT is really historic; we have been struggling to establish a land bank for investment activities," Mr Ole Naiko explained.


  He said under the agreement, TIC would be able to meet its goals of promoting the bank and provide splendid opportunities for investors.
  "Suma is a state-owned organization and it will be used as an example for others to emulate," the TIC boss noted.


  Mr Ole Naiko also called upon Tanzanians with huge land to come forward and support the land bank programme achieve its goals.
  Earlier, Col. Makafu who stood in for the corporation's director, thanked the centre for the support, saying JKT had plenty of suitable land for investment activities.


  According to Col. Makafu, JKT had suitable land for agricultural activities, mining, construction of hotels and beach tourism.
  "This agreement with the TIC is of paramount significance to us since it will ensure investors know our land bank," he said.
  He also observed that the JKT had already started to support the efforts by the government to revolutionise agriculture under the theme 'Kilimo Kwanza' or Agriculture First.


  THEN  The Tanzania Investment Centre (TIC) and the Tanzania Prisons have entered into an agreement in which the former will market the latter's land to prospective investors.


  The TIC will under the deal market 130,000 hectares of Prisons land. TIC executive director Emmanuel ole Naiko and Prisons principal commissioner Augustino Nanyaro signed a memorandum of understanding (MoU)
  The Tanzania Investment Centre (TIC) and the Tanzania Prisons have entered into an agreement in which the former will market the latter's land to prospective investors.


  The TIC will under the deal market 130,000 hectares of Prisons land. TIC executive director Emmanuel ole Naiko and Prisons principal commissioner Augustino Nanyaro signed a memorandum of understanding (MoU) late last week in Dar es Salaam.


  We [Prisons] are confident that the land will be useful to prospective investors in agriculture and make the 'Kilimo Kwanza'(Agriculture First)' policy a reality," Mr Nanyaro noted after the MoU signing


  He said the Prisons Department had plenty of arable land, which was underutilised. "The Prisons Department has over 130,000 hectares which are suitable for commercial farming and animal husbandry," he said, adding that the department wanted to play a pivotal role in a green revolution in Tanzania.
  Mr ole Naiko said: "I commend the Prisons for signing the MoU with us. The 130,000 hectares will be instrumental in boosting our land bank.


  "This is an important step forward towards successful implementation of 'Kilimo Kwanza'." He urged other institutions with idle land to make their properties available for investment
  Copyright © 2009 The Citizen. All rights reserved. Distributed by AllAfrica Global Media (allAfrica.com). To contact the copyright holder directly for corrections — or for permission to republish or make other authorized use of this material, click here.  Jamani ehe, madini sio yetu tena, dhahabu, almasi, tanzanite, uranium, saphire, ruby etc.
  Utalii hauko tena mikononi mwetu ni wazungu tu, na waarabu wa loliondo

  Shirika la ndege hilo kwa wachina,
  Viwanda wamechukua watu wa nje,
  Kilichobaki ni ardhi tu halafu eti wanapewa investors, jamani hivi mkulima wa Namtumbo anaweza kununua ardhi kwenye landbank ya TIC kwa kushindana na Mzungu, Mhindi, Mchina, Muarabu, Mkenya, au Msouth Africa ambaye serikali yake inamback? ( Dont mistake me for a racist)

  Sasa imeaminika pasi kuacha shaka lolote kuwa kilimo kwanza ilikuwa ni pathway ya kukaribisha wageni toka nje kuchukua ardhi yetu. Hivi kweli Watanzania tumeshindwa kulima hiyo ardhi jamani. Sokoine University iko katika orodha ya vyuo bora 100 vya Afrika ina miaka zadi ya 30 je products wa miaka yote hiyo wako wapi na wanfanya nini mpaka tuite investors.
  Tuna vyuo vya kilimo vya tokea enzi za mkoloni mlingano, ukiriguru, mati ilonga , mpwapwa, tumbi just to mention a few jee products zote hizo haziwezi kulima hayo mashamba. Hela za EPA zilizorudishwa zimeenda TIB kwa ajili ya kilimo kwa nini Watanzania wasipwe hizo hela kuendeleza mashamba hayo ambayo wafungwa wameshindwa na au hawataku kuyalima.
  Wafungwa na vijana wa JKT walikuwa ni labour power tosha ya kudevelop landbank hiyo kitu gani kimewashinda wafungwa manafanya nini gerezani cha maana kama sio kula kodi zetu bila kuwa productive. Reli, shule, hospitali, ofisi za serikali wakati wa mkoloni zilijengwa na wafungwa sasa leo wafungwa wana ardhi, watalaamu wa kilima na pesa iko TIB lakini tunatafuta mwekezaji aje alime.

  JKT sasa hivi kazi yao kwenda kuzuia wapiga debe ubungo zamani ( sio zamani sana) zilikuwa kambi za uzalishaji wa hali ya juu. Oljoro, masange, mafinga, bulombora, makatupora, ruvu etc ona sasa JKT ni magofu tu wataalamu wapo hakuna kinachoendelela

  50 years after independence we are still looking for investors, why then did we fight for our independence if that is the position. hii mentality itatutoka lini cant we do things on our own? it seems the only thing we can do on our own is stealing EPA Funds, i can tell you in that we dont need investors, donors or expatriates.

  What kind of people are we?

  Now i sart to believe that kilimo kwanza is not for wakulima waliotusomesha kwa jembe la mkono, waliolima kahawa na korosho mpaka tukawa kwenye ramani ya dunia kwa ajili ya mazao hayo bali , bali ni kaulimmbiu ya kukaribisha matajiri wa jangwani walio na ardhi isyo rutuba walime kwetu kwenye rutuba, ardhi ichoke sie tusipate kitu na halafu wao hao waondoke sisi tuambulie land rent ambayo itaishia kufurnish ofisi za wizara ya kilimo na Halmashauri na kumwacha mwananchi hoi kama mwanakijiji na jembe lake begani akiwa hajui mwelekeo wake.
  BABU ZETU WALIKUWA NGUMBARU NDIO MAANA WALIDANGANYWA KWA SHANGA, VIOO NA RISASI SISI TUMESOMESHWA NA HAO WAKULIMA TUNAOWADHULUMU PAMOJA NA ELIMU YETU USHAWISHI GANI UNAOTUFANYA TUDANGANYIKE, NI NINI HASA??????


   
 2. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  hayo ndo maneno, watanzania hasa viongozi ni opprtunist, wameshaona opportunity kwenye kilimo kwanza, na yo ni fursa ya kuuza ardhi kwa wageni
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Kwa nini wauze ardhi kwa wageni ? Kwani wananchi wameshindwa kulima hiyo ardhi.Kama viongozi wanashindwa kuwapa nyenzo wananchi walime na badala yake kuanza kuuza ardhi basi ina maana wameshindwa kutekeleza majukumu yao kikatiba amabayo ni kulinda uhuru wa nchi yetu na badala ya kufanya tufaidi uhuru wetu wanaturudisha kwenye ukoloni.
   
 4. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Kwa sababu wenyeji wameukalia uchumi.
   
 5. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Wameukalia uchumi , kwa vipi unaweza kufafanua, under normal circumstances walitakiwa uchumi waufanyieje kuusismamia ? if yes kwa vipi na serikari imechukua hatua gani kuhakukisha wananchi wanafanikiwa.

  Kama ni kuupigia magoti ni kwa vipi na vile vile jinsi gani serikali imejitahidi kuwawezesha wananchi vipi ili wanufaike.

  Kuulalia uchumi, kwa vipi ebu tuueleezee tuelewe zakumi hii dhana yako ngumu kidigo kupanda kichwani.
   
 6. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ni njia nzuri ya kuleta mapinduzi ya kilimo kwani wenye uwezo wa kuwekeza (wageni na wazawa) watapata fursa hiyooo.

  ardhi hiyoo kutokutumika kwa uzalishaji mali ni kunyima fursa za kuondoaa umaskinii nchinii.....

  hongereni JKT, MAGEREZA na TIC kwa juhudii hizoooooo
   
 7. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  hivi unaamini kuwa wazawawatawekeza mbona hawakuwekeza kwenye madini na kwingineko hii yote ni ya wageni sio wazawa.

  Kutotumika ardhi hiyo kwa muda wote huo ni uzembe wa viongozi wa JKT na Magereza, badala ya kuwawajibisha sisi tunachekelea na kuita wageni waje watusaidie, kushindwa kuendeleza ni kushindwa majukumu waliyopewa hivyo wawajibike tu.
   
Loading...