Kwa usanii uliopo, itakuwa ngumu sana. Hamia kizimkazi ufaidi maishaJamani watanzania wanateseka ndani ya nchi Yao. Popote ukikutana na madhira Yao tuwafariji.
Nchi ishakuwa ngumu hii.
Itakuwa. Maana wanalalamika Hadi utawaonea huruma hata kama ni wewe ukikutana nao,Standard nzuri sana ya kuhakikisha mkataba unaelezea kila aina ya mazingira ili kutunza mali.
WaTanzania hatuna utamaduni huu, ndiyo maana tunaona ni kero hivyo mali iwe ya kampuni au nyumba zetu tunaona aibu kuweka mambo yote wazi. Mwisho wa siku kukitokea madhara tunalalamika.
Neo colonialism.Jamani watanzania wanateseka ndani ya nchi Yao. Popote ukikutana na madhira Yao tuwafariji.
Nchi ishakuwa ngumu hii.
Kule wanatesa kama ilivyokuwa kule Chatolite (Magu), Gbadolite (Mobutu), na sasa, Kizimakalite (Sir100).Haya mambo huko hayapo??
Ni ya hapa hapa Tanzania. Wafanyakazi wa kampuni ya Gardaworld ndiyo wanaoishi kwenye nyumba hizo. Kuna mmoja wao kanitumia hiyo sample ya maktaba kuwa wanaonewa ikiwezekana wapaziwe sauti.Hii ni ya hapahapa Tanzania?? Ni wakina nan hao wanaoishi hizo nyumba?