Uko wapi uteuzi makini unaodaiwa kufanywa na Dr Magufuli?

Uzi uko wazi sana mkuu , tuache kusifu uongo , sifa kama hizi zinaponza , halafu si vema kujaribu watu walioshindwa .
 
Uzi uko wazi sana mkuu , tuache kusifu uongo , sifa kama hizi zinaponza , halafu si vema kujaribu watu walioshindwa .
Mimi sifa moja tu ndio sitoacha kumpa Magufuli!
So far ni dhamira njema na uchungu wa kutaka kuiona Tanzania inafanikiwa!
Nje ya hapo sijawahi kumwagia sifa za kudumu unless amefanya jambo jema! Lkn kuna maeneo ya kudumu nayalalamikia kwa lengo zuri tu kama hili lengo lako la kuona anatusikiliza!
Ok labda kuchangia ktk hili!
Ktk teuzi zake Mimi binafsi sisumbuliwi na uadilifu au performance ya wateule, nalalamikia bias ya kanda ya ziwa! Hata kama wahaya ni wasomi lkn si idadi hii! Wako wapi wachaga ambao ni equally competent ktk taaluma!
Kwa kukosa balance na uwakilishi mzuri wa jamii katika teuzi ni tatizo! Africa bado uwakilishi wa maeneo ya asili una matter sana! Sijui kwanini lkn nahisi hakuna balance tena hasa kwa k'njaro which is too bad!
 
HoJA zako hazina mashiko kabisa.
Mtu akishindwa ubunge anakuwa ame be disqualified kabisa????
Hapana,, bado wapo wengi tuu wazur. Mfano DC wa wilaya ya Nkasi,, amekaa siku 10 tuuu lkn ame fanya maaendeleo angalau.. Kuliko mtu alie kaa miaka mitano.
Siku 10 tu zinakufanya uamini kua anaweza?
Ufikiri wa Mwendokasi.!!
 
Mkuu, mtoa mada anahoji kuhusu umakini katika uteuzi uliofanyika. hajapinga uteuzi bali yeye anaona kuna viashiria vinavyokinzana na umakini.
Kwa mantiki yako kila mtanzania anastahili kuchagua au kuchaguliwa lakini ukasema tena uteuzi una matumaini maana yake ni kuwa hao ndio wanaostaahili kuliko wote?
Kuhusu Mrema si kwamba watu hawamtaki bali wanahisia kuwa amechoka na ukisoma sheria inayounda Parole inaweka hitaji la ujuzi wa sheria kwa mwenyekiti.
mimi sioni wivu bali ni arrgument ambayo inawezaa kujibiwa kwa hoja pia na si kupachika haya maneno mazito.
 
iliwahi nitokea nlipewa jukumu watu wakabeza,mwisho nlipoondoka miaka Sita Sasa rekodi yangu haijafikiwa!! Na haikuwahi tokea...waTz tunapenda kuzomea na kudharau bilavigezo,hii tabia naichukia saaana.
 


A Very sad worldview. You are fishing! Definitely devoid of any sense of sensibility, or traces of genuinity, even a pretense of thinking. Amahala ghako ubapele abhangi. Ughaaswike mwanguswigha!

While you are at it (declaring your so called interest/s), state your other citizenship.

Kama huoni yaliyo wazi, basi tatizo siyo macho yako, tatizo siyo sensory organs zako, tatizo liko kwingine.

Kyala akutule, ubulema akufuule, ubwanaloli akubule.
Usajigweghe!
 
We
Labda mpaka siku Rais atakapowateua Mbowe, Sumaye, Msigwa, Sugu, Mbatia, Lowasa, Mashinji, Lissu, Kubenea, Heche, Mdee na wengineo ndo utaona amekuwa makini. Eti kateua waliokuwa wa Kikwete, ulitaka azae wa kwake wapya ili awateue, au ulitaka wakajadiliwe ndani ya CC ya cdm kabla ya kuwateua.
 
Ni
Mmeishiwa hoja nyinyi, kwan sumaye na lowasa wametoka wapi na walifanya nn kpindi cha uongozi wao mpaka mkaawaamini kwamba ni wananabadliko?
Nilivyomuelewa mwandishi anataka kujua uteuzi ni UTEUZI MAKINI? au UTEUZI WA KAWAIDA?
 
Kama taifa tunapaswa kuondokana na nafasi za kuteuana ili kuongeza ufanisi kwa kuongeza wigo wa kupata competent individuals. Watu kama akina Makonda waliohangaika hata kupata elimu I don't think kama hawatastruggle sana kutuletea maendeleo
Nadhani tuwawekee mifumo au mipaka thabiti wale wenye dhamana ya kufanya uteuzi ili wasiwe wakifanya teuzi kwa matakwa binafsi, vinginevyo kupitia uteuzi ndo tunaweza kupata watu safi na competent kwa kazi husika. Lakini kwa kupitia sanduku la kura ni mara chache sana kumpata mtu anayestahiki. Kwa sanduku la kura hata Lusinde, Kubenea, Mbowe, Lyatonga, Sugu, Majimarefu, J. Msukuma, Mgeja wanaweza kuchaguliwa hata kuwa watendaji mkuu wa Mhimbili hospital.
 
Kama GT kweli ungeweka assessment indicators pamoja na rationality badala ya vibwagizo. Sasa ndugu unategemea GT watumie vibwagizo badala ya viashiria vya kisayansi kutathmini appointments za JPM!
 
Mkuu zaidi ya kunishambulia na labda na hicho kiingereza chako kizuri na kigumu , IKYA MBULAJA ( maana mimi ni maimuna ) sijaona mchango wowote wa maana ila nimefurahishwa umeandika kinyakyusa na kunikumbusha nyumbani KAJUNJUMELE , nakumbuka pale NJISI kuna klabu ya pombe za asili inaitwa NGULA NGOGE .
 
Kama GT kweli ungeweka assessment indicators pamoja na rationality badala ya vibwagizo. Sasa ndugu unategemea GT watumie vibwagizo badala ya viashiria vya kisayansi kutathmini appointments za JPM!
Mjomba kipi ambacho hukijui kuhusu walioteuliwa ? Mimi nimeomba kufahamu hiki kinachoitwa uteuzi makini ni kipi ? Bila shaka Unakumbuka muda ambao ulitumika kupata mawaziri makini , lakini ya Kitwanga pia uliyaona .
 
Awali ya yote naanzia kujibu mwisho wa post yako. Hapa JF siku hizi hakuna Great Thinkers ila kuna genge la mashabiki wa vyama vya siasa. Kwa maana hiyo basi hakuna jibu lolote la maana unaloweza pata kutoka kwa wachangiaji wanaopenda majibizano ya kisiasa.

Ukweli huu uko reflected kwenye uliyoandika. Unasema humu JF tunawajua wateule wote. Are u serious? Wewe binafsi unawezaje kuwajua wateule wote mmoja baada ya mwingine? Huenda huwajui hata mmoja!

Turejee maelezo ya Rais mwenyewe ya namna ilivyomchukua muda mrefu kufanya uteuzi, tukianzia kwenye baraza lake la mawaziri hadi kufikia uteuzi wa MaDed wiki hii.
Haijawahi kutokea Rais akapitia majina yote moja baada ya jingine na kusoma taarifa za kila mmoja kujiridhisha kwamba anaowateua wanastahili! Sasa sisi humu JF tunapata wapi uthubutu wa kusema tunawajua wateule bila kuwa na taarifa zozote zinazowahusu?

Watanzania hasa humu JF ambao mnaojiita Great Thinkers mfike mahali msiwe kama vijana wa vijiweni ambao hupoteza muda mwingi kupiga porojo zisizo na tija kwa maisha yao na kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Muwe Great Thinkers wa ukweli na si madomokaya!
 

Na wewe unafikiri umeleta hoja yenye mantiki kabisa ..!!! Hivi ulitegemea wateuliwe watu kutoka sayari gani...? Huyo Rais mwenyewe Kwani hakuwepo kwenye Serikali iliyopita ??!!! Ulitaka uteuliwe wewe Ndiyo ujue Ni uteuzi Makini..?! Unashangaa Rais kuteua baadhi ya watendaji kutoka Serikali iliyopita unasahau kabisa kuna Chama kilimteua mmoja wapo wa watu wa Serikali iliyopita kugombea Urais pamoja NA kwamba alikuwa mtuhumiwa no 1 wa ufisadi Serikalini...?!! Hivi ulifikiria wakati unaleta huu uzi au umesukumwa tu NA mhemko ..! Umewahi kufikiria huyo mgombea angepita angewateua watu gani katika Serikali yake? Think before exposing your stupidity ...
 
mpaka mrema!

Mpaka JPM katoka awamu iliyopita na wapinzani ni wale wale kutoka awamu iliyopita. Sidhani kama mlitegemea malaika wawemo katika teuzi ni recycling ya watu wale wale hata JF ile ile tu.
 
Hiyo dhamira umetumia kipimo gani kuipima mpaka ukaconclude kwamba ni njema,je ni rais gani wa Tanzania aliwahi kuwa na dhamira mbaya ya Tanzania? Hawa watu ni wale wale tena wa chama kile kile,Sera zile zile then wadanganyika mnategemea kitu tofauti,mtasubiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…