Jef Kirhiku
Member
- Dec 10, 2016
- 39
- 76
Licha ya hatua kadhaa za Serikali kufuta posho na marupurupu mbalimbali kwa watumishi wa umma bado imeendelea kulipa wabunge na wanasiasa wengine posho za ajabu ajabu ikiwemo ile ya kukaa ?
Uko wapi uhalali wa kuwalipa wanasiasa posho lukuki huku wakiwa na mishahara minono ukilinganisha na ile ya watumishi wa umma ?
Ndo kusema watumishi wa umma nao waache kazi na kukimbilia kwenye siasa ?