ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
naona hukumuelewa lissu!!hakumuita dikteta kamili,alimuita dikteta uchwara.Inaonekana hawajui maana ya dikteta! Dikteta gani atakupa hata nafasi ya kumwita yeye dikteta tena hadharani, halafu upate fursa ya kuhoji udikteta wake mahakamani? Nawashauri waombe fursa ya kwenda kunywa chai ikulu wamweleze kwa ustaarabu hayo madai yao. Watapata maelezo na watamwelewa vizuri. Natumaini atawakaribisha. Kwa mambo ya UKUTA wataumiza vijana bure.
Ukweli gani wakati kabla ya kuja huko ccm kaandika makala ya kumuomba msamaha Lowasa? Unafiki mtupu.Ukweli mchungu kwa machadema
Hata mbowe aliivunja ya chadema, hakuna shida, sisi ni maendeleo tuApambane na kila kitu lakini asivunje katiba.
Kajitoa ufahamu. Kaandika ili naye aonekane yuko pamojaMr Mpendazoe, tatizo siyo hilo bali tatizo ni Magufuli kuendesha nchi kiimla, kukiuka misingi mingi ya katiba, kuamini kuwa nchi hii kuna CCM pekee na ni lazima kila Mtanzania awe mwana CCM.
kama yy ni kiongozi wa majeshi basi na sisi wananchi ni wanajeshi piaMpenda zoe, muda huu si wa kuwapinga chadema na ukawa kwa ujumla, ni kujiharibia siku tu maana chadema na ukawa hawajui hata wanajiita ukawa kwa kutaka mabadiliko ya katiba iliyopo kuwa ina mapungufu makubwa! Katiba inaruhusu nchi kuongozwa kijeshi kupitia rais wa nchi huyohuyo na ndio maana yeye ni amiri jeshi mkuu!
Rais kukataza mikutano ya siasa ni udikteta.Vyama vinavyounda UKAWA vimetangaza kufanya maandamano yenye lengo la kupinga udikteta, UKUTA. Maana yake ni Kwamba serikali ya Rais Magufuli in ya kidikteta.
Niwakumbushe UKAWA yafuatayo:
1. Serikali ya Rais Magufuli imechaguliwa na watanzania kikatiba katika Uchaguzi mkuu 2015.
2. Kulingana na katiba, Rais hushauliwa na Baraza la mawaziri. Na pia Rais hushauriwa na Chama chake. Hivyo, Rais Magufuli anafanya maamuzi Kwa kushauriwa na taasisi hizi. Hivyo madai Kwamba anaamua bila kushauriwa hayana mashiko.
3. Madai Kwamba anawagandamiza baadhi ya watanzania, ni jambo la kushangaza. Tukumbuke wakati WA sakata la EPA, Chadema walipiga kelele sana wakati JK alipowaomba wezi WA fedha za EPA wazirudishe. Wakasema anaongea na wezi. Rais Magufuli amechukua msimamo tofauti, amekuwa dhabiti. Sasa Chadema wanadai dikteta. Hapana.
4. Rais Magufuli amekuwa na msimamo Mkali dhidi ya Ufisadi, wakwepa kodi, ubadhirifu kwenye serikali na halmadhauri na mashirika ya umma. Anapigania utajiri WA Nchi Yetu uwanufaishe watanzania wote. Ukweli Rais Magufuli ni Jibu Kwa maombi ya watanzania wengi kutokana na hali ilivyokuwa imefika.
4. Upinzani wanachokifanya ni kutaka kuwapotodha watanzania ili waichukie serikali yao. Upotodhaji lengo ni uchochezi.
Ukowapi udikteta wa Rais Magufuli?, lakini uchochezi wa UKAWA in dhahiri.
UKAWA wanadai demokrasia inaminywa. Tukumbuke, mgombea UKAWA alivyopatikana. Ilikuwa ndani ya chopa na watu wachache siyo kwenye vikao. Hapakuwa na mchakato ulio wazi. Ikowapi demokrasia kwenye UKAWA ?
Pia tukumbuke, walimtuhumuLowassa Kwa muda mrefu kuwa no fisadi na wakawaeleza watanzania kuwa wanao udhahidi. Ghafla wakaamua awe mgombea urais. Uko wapi Uzalendo WA kweli ndani ya UKAWA ?
Watanzania tumuunge Mkono Rais Magufuli.
Kapi lao limerudi...,we jamaa mpendazoe unatia kinyaa....ni vigumu kukuvumilia....wakati umeshindwa ubunge ccm ulikimbilia upinzani....ukapewa nafasi kugombea ubunge upinzani nako ukakosa... Na kila upande ulipotoka ulikuwa unapaponda...sasa umerejea ulikotoka unaponda upinzani...we jamaa huna unachosimamia zaidi ya tumbo laki....utakimbia hadi utachoka...lakini ujue kote unakopita unaacha maandishi yako...ambayo ndiyo utahukymiwa nayo... Hata hao ccm wanaokusifu sasa ndani ya mioyo yao wanakucheka na kukudharahu....we jamaa huna tofauti na ma.laya ama shoga anaebadili wanaume ili kujipatia kipato.....akili zenu moja....kinyaa...
yote sawa lakini ailinde katiba ya nchi aliyoiapia, aruhusu mikutano na maandamano ya amani ya kisiasa.1.Kuudhibiti ufisadi
2.Kuasisi mmahakamaya mmafisadi.
3.Kudhibiti MMatumizi.
4.Kusimamia nidhamu ya utumishi wa umma.
5.Kufufua ATC,TRL,Meli....Nk
6.Kuimarisha huduma za afya,elimu nk.
7.Kuongeza mapato ya serikali nk..