Toka uniage unaenda kwa safari ya kikazi,ni miezi imepita:
Uko wapi nikufate
Niambie nipajue
Angalau nikuone
Roho yangu itulie..
Nakukosa sana mwananthropolojia wangu..
nduguyo hapatikaniki shemegi
nitaftie..niitie huko aliko aje yaan
tena awahi..
mimisa vipi ten....
namtafuta mume wangu Kaizer..hajarudi nyumbani na hapatikani simuni
waambie na kina figganigga kiwatengu TheDealer Rich woman Mentor na wengne wote..wanisaidie kumtafta..
itakua bora sana
maana....
ilo swali lako hilo
mmh!