Uko wapi Darlia Shayo!

Status
Not open for further replies.
Bwa ha ha ha ha ha ha ha ha ha, waliokuwa JKT mwaka ulioutaja ni vijeba, wako above 35!

I wonder hata huyo Yo Yo unayemwaminia ni kijeba au ajuza vile vile. Bwa ha ha ha ha ha ha haaaa.

Endelea kushangaa ila ukweli ni kwamba umechelewa maisha, uko kwenye count down kuelekea forty, shikamoo mzee.

Unaelekea uko obsessed na age; what is the big deal?!
Ubaguzi na unyanyapaa huo hautakiwi; we ukimuita jamaa kijeba kwa kuwa yuko 35+, kumbuka wale ambao wako 15 pia wanakuona we kijeba pamoja na 21 years zako!
Eti count down kuelekea forty, mara ajuza! Wazee wa 65+ wanatesa vile vile kuliko 25 year olds!
Na lastly, kama jamaa yuko 40 he should be thankful; wewe hujui kama utaonja 30! Au unajua?
Good luck, nb: tuwaheshimu wakubwa.
 
Mods!

Please funga hii thread, Masa ameshapata habari za huyo Darlia.

Shukrani.

Nimekusoma my sweet bellies....MODS do the necessary tumempata family friend wetu Daria na familia yake! Thanks to all Including Uwiano
 
Simtafuti kwa mahusiano ama chochote mkuu Ibrah unajua kuna watu unakutana nao kwenye maisha unatamani uendelee kujua walipo na wanaendeleaje its like sipping the most delicious wine - and want it to last forever. Asante sana kwa taarifa nimefurahi sana...


...Masanilo!! This thing about 'sipping the most delicious wine. Now if I hear a former male coleague of my One and Only saying he wants to know her wereabouts because...its like sipping the most delicious wine which he wants it to last forever...Somebody better hire Ultimate Security to guard his front teeth!!! :D :D
 
...Masanilo!! This thing about 'sipping the most delicious wine. Now if I hear a former male coleague of my One and Only saying he wants to know her wereabouts because...its like sipping the most delicious wine which he wants it to last forever...Somebody better hire Ultimate Security to guard his front teeth!!! :D :D

Hahah BabaDesi nimecheka sana sana !! hahahah haya mzee wangu nimekusoma! hahah ngoja nitafute Ultimate Security to guard in case of fire!

Week end njema,
 
Jamani namtafuta Darlia Shayo alikuwa Miss Makutupola JKT 1992-3! Tulikuwa marafiki na alikuwa mdada wa shoka, Bellinda do worry namtafuta kwa a good cause ni miaka mingi imepita! Nadhani alitokea Msalato....alienda university Dar thereafter since then sijamsikia...

Nimeona picha yake kwenye kumbu kumbu zangu tukiwa kwenye green vest za kijani na pitshort za bluu hahahah maeneo ya Mzakwe kwenye shamba la Zabibu na Afande Kimbuga kwa pembeni...na kama hapa JF kuna jamaa tulikuwa naye kwenye ile timu ya jeshi tuliocheza ligi daraja la pili kanda aniPM jamaa walitaka tulostisha kweli eti tupandishe timu na sisi tuajiliwe jeshini kwa mpira...thank God hakuna aliyekubali

Bon week end

Masa

Masa,

Umesahau pia kwamba Darlia alikuwa Miss B-Coy kwa Afande Doma na Remsey (Chaurembo). Nimefurahi sana kuwasikia vijana wa Operesheni Vyama Vingi!!! Kama umempata basi nitumie PM unipe updates!!
 
Masa,

Umesahau pia kwamba Darlia alikuwa Miss B-Coy kwa Afande Doma na Remsey (Chaurembo). Nimefurahi sana kuwasikia vijana wa Operesheni Vyama Vingi!!! Kama umempata basi nitumie PM unipe updates!!

Dark City

Jamaa wewe nadhani tulikuwa intake moja! Sawa kabisa tulikuwa naye B coy!na hao maafande.... Mazee unataka updates za nini yakhe?...si unajua kisicho halal ni haramu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom