Ukizubaa tu, imekula kwako!!!!!!!!!!

nikajua ukwaju unatumika kama mishkaki, lol. Mwenzio chipsi nimezijulia ofisini.

njoo uswazi kwetu nikupeleke kwa Seif Mpemba au Mgosi Hassan Makuku tukapate kitu cha chips vumbi na chachandu ya ukwaju...
Ukwaju unatumiwa kama chachandu, unakua kama juisi hivi ndani ya kichupa cha tomato sosi...
 
Haaaaaahaaaaaahaaaaaa Baba V inaonyesha ulvyokuwa mtaalamu wa hiyo makitu enzi zako.
Hapo kama kuna nyama unaidaka fasta unaiweka benchi mkono wa kushoto afu unaendelea na ligi, yenyewe utaila mwisho
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…