Ukizingatia haya kitambi bye bye!

Mh hii kazi kweli. Twatakiwa kuemagine?
 
Kweli lazima kitambi kiishe kwa mtindo huu,nimekodoa macho nusu saa nzima lakini sijaona kitu
 
mkuu nitoeje kitambi? naomba ufafanuzi p'se!. mia
 
Kapiga mtu picha na aliyepigwa kakwepa!! Mpigaji akakimbia na kamera na kuwahi kwenye pc, still picture na mnato ndio hewa kama hivyo. Amejiaibisha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…