Ukiwatumia hela hawa watu

Just men๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡
Kuna mwanangu alikua na kipengele kizito kabisa ikabidi nikope sehemu nimtumie bila kumwambia nimeazima. Jibu lake sasa nilibaki nacheka tuu...

"We mshamba umetisha๐Ÿ˜‚" Na iโ€Šlikua ni 500k asee
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unatuma 3000 au 5000 ni za vocha au maana utatoa ngapi hapo, mi akitaka kutuma hizo hela Huwa namwambia aache tu
Wanaoomba 5k huwa wanatuma msg kwa zaidi ya mtu mmoja, wakiwa kumi that's 50k.
Wewe huwa unaomba ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ