Ukiwatumia hela hawa watu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,102
Reaction score
871,287
UKIMTUMIA MWANAMKE HELA
3,000 hawajibu
5,000 ok
10,000 nimeona
20,000 Tnx
50,000 Asante
100,000 asante ba mpenzi chibaba wangu🥰 jioni nakuja kukuona🤩

UKIMTUMIA MWANAUME HELA
3,000 kaka asante💪🏿
5,000 kaka umetisha🔥
10,000 unyama sana mwanangu🤝🏾
20,000 umetisha mwenyekiti📌🔨
50,000 Mungu akubariki kaka sina cha kukulipa
100,000 umebadilisha siku yangu kaka. Respect🙏🏿🙏🏿🙏🏿💥
 
Wewe umejuaje mkuu... kupata takwimu au umetumia maufund ya kilingeni?
 
Ba mtu nifosie mazingira hapo 😁
 
Kuna wale raia ambao hawajibu kabisa, alafu ukimpigia kuuliza kama amepata anajibu subiri niangalie😄.
Ila wa kwangu ata nikimtumia nukta tu utaskia ahsante Baba angu
Ila wa kwangu ata nikimtumia nukta tu utaskia ahsante Baba angu🔥🔥🔥🔥😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…