Ukiwa wewe utafanyaje

JOMI

Senior Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
144
Reaction score
118
Mfano ;- wewe umempenda demu ,, ukamtongoza akakubali ,, akakuambia uje nyumbani ,, ukafika kwao ukamuuliza ,, unakaa na nani '? akakujibu :- naishi na bibi ila hayupo hapa yupo hospitali kalazwa ,, mkalala kitandani ,,usiku wa manane mara mkasikia hodi ,, Binti akakuambia jifiche uvunguni ' ukajificha" akafungua mlango ,, akakuta watu wameleta maiti ya bibi yake ,, wakaja kuiweka kitandani ,, huku wewe ukiwa umejificha chini ya uvungu wa kile kitanda mpk asbh ,, ukicheki watu kibao wamejaa sebuleni mpaka nje ,, je ! utafanyaje na nguo kalalia marehemu ?
 
Ulijificha kizembe sana. Kuacha nguo zako kwa bed c ndio kidhibiti chenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…