Ukiwa ugenini...

simba songea

JF-Expert Member
Feb 8, 2016
1,498
1,214
Msaada jamani;

Hivi inafaa kukaa muda gani baada ya kula kwa jirani ndio uondoke ili usionekane ulifuata msosi tu??
 
Tatizo ni kwamba umekula mpaka umenyeng'anyana punje za mwisho kwenye sinia na mtoto wa mwenyeji wako.
 
Ukisikia kauli ya "Leo nimechoka sana..." kutoka kwa shemeji yako.....ujue unafukuzwa wasipoisema subiri menu inayofuata
 
unauliza toilet ni wapi? ukishatoka unazuga unaharaka unawahi mzigo sehemu flani ukitoka hapo spidi 120 kwenye kona shaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,,,,,.
 
Ww ukishapiga menu tu jifanye sim inaita, hallow halow ile inshu tayar cio ss ww mpe kwanza Laki moja hapo nakuja ndy unaondoka hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom