Ukiwa single unaenjoy sana!!!

Hauli hela yako na mtu,ni bata tu kwanza sai nashusha kuku wali na juisi.nimeanda msosi hapa najisevia tuh. Sitak demu sitaki mke najipenda tu mwenyewe.sitak stress at this age of 30.
Toka bhana useme tu kwamba wewe unatabia ya ubinafsi na uchoyo.

Ziada: Mpaka umeandika huu uzi hapa inaonyesha uko kwenye sonona ya kukosa demu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ

Selikavu Warld Edo kissy
 
Hauli hela yako na mtu,ni bata tu kwanza sai nashusha kuku wali na juisi.nimeanda msosi hapa najisevia tuh. Sitak demu sitaki mke najipenda tu mwenyewe.sitak stress at this age of 30.
Rolling Stone kwenye Albam ya "The Way it Is"_ 1999

LuckyDube anasema "They Think Loneliness is freedom"
 
Mimi na Warld tunaosoma comment hii kwa furaha sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kila kitu chako na bado unambembeleza tena anakupa masharti
 
Njombe wanawake ni wengi kuliko wanaume unakosaje mwanamke??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ