Ukiwa na 'mke' unatakiwa umpe vingapi ndipo ulale?

Ukiwa na 'mke' unatakiwa umpe vingapi ndipo ulale?

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
1,153
Reaction score
1,359
Nianze kukiri ukweli kwamba kati ya viumbe ambao wako trickier hasa kwenye suala la ngono na tendo la ndoa kwa ujumla ni wanawake. Leo sitaki kuandika maneno marefu sana. Niende moja kwa moja kwenye point.

Inapokuja kwenye suala la ngono na tendo la ndoa, ushauri wangu ni kwamba mpe mwanamke mara nyingi atakavyo na wala usimpe mara nyingi kadri wewe uwezavyo bali kadri yeye awezavyo na atakavyo. Unaweza kulinganisha na 1Corinthians 7:5

Kama hajalalamika mpe hata mara kumi. Kumpa si maanishi wewe lazima uzame. Tumia njia nyingine zozote zile kuhakikisha ameridhika. Sugua, nyonya, lamba. Hakikisha amekojoa hata mara saba, mara kumi, kisha ulale. Usilale kwa sababu wewe umemaliza haja zako. Ukifanya hivyo utayakuta mashtaka kwa paroko au kwa shangazi!

Kama una maoni tofauti unaweza kuchangia pia!
 
Back
Top Bottom