Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa masikini

Unafaa kuwa great thinker wewe. Ahsante na hongera sana mkuu
 
Mkuu maisha hayana formula kuna matajiri wanakula bata la kufa mtu na utahir wao unaendelea kama kawa na kuna masikini kibao ni wakweli hawana umbea wala lawama hawaweki vinyongo nk so mm naona hizo theory zako haziwez kuapply kwa watu tofauti tofauti


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…