Ralphryder JF-Expert Member Nov 16, 2011 4,933 1,294 Jan 25, 2012 #1 Teacher wa machizi aliwapeleka wanafunzi wake baharini kurelax,chizi mmoja akawa amekaa pekeyake pembeni teacher akamuuliza kwanini umekaa pekeyako chizi akamjibu napiga hesabu hii bahari ingekua supu ningetumia chapati ngapi?
Teacher wa machizi aliwapeleka wanafunzi wake baharini kurelax,chizi mmoja akawa amekaa pekeyake pembeni teacher akamuuliza kwanini umekaa pekeyako chizi akamjibu napiga hesabu hii bahari ingekua supu ningetumia chapati ngapi?
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Oct 3, 2011 5,904 1,976 Jan 25, 2012 #5 Copied...ya wiki ilio pita tu...Uvivu wa kufikiri!!!
Kabakabana JF-Expert Member Aug 5, 2011 5,551 1,160 Jan 26, 2012 #6 drphone said: du huyo kesha pona uchizi Click to expand... umeona eeh
Horseshoe Arch JF-Expert Member Aug 10, 2009 13,139 12,285 Jan 26, 2012 #8 Copy kwa walokwisha soma,mpya kwa ambao tulikua bado,its cool anyway
K Kanyigo JF-Expert Member Oct 3, 2011 1,027 191 Jan 26, 2012 #9 Horseshoe Arch said: Copy kwa walokwisha soma,mpya kwa ambao tulikua bado,its cool anyway Click to expand... ndo maana yake.wengine nyodo tu.
Horseshoe Arch said: Copy kwa walokwisha soma,mpya kwa ambao tulikua bado,its cool anyway Click to expand... ndo maana yake.wengine nyodo tu.