Ukiwa muongo usiwe msahaulifu...

msema.kweli

Member
Joined
Sep 3, 2015
Posts
26
Reaction score
64


Hili ni gazeti la serikali, linaandika uongo mchana kweupe ili iweje???

Magufuli bado hajaenda Chato sasa kaiteka lini?? Mbona mnajitaidi kuwa waongo kiasi hiki nyie waandishi??

Hivi hamuoni kwamba credibility yenu inashuka sana? Tafadhali mkitaka kuwa waongo msiwe wasaulifu.
 
Mwandishi taahira huyu! Yeye anafikri Biharamulo ndo Chato?
 
Last edited by a moderator:

Habari ilinichanganya hata mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…